Ijumaa muswano ndg yangu.
Napenda tech inavyokimbia kwa spidi sana na napenda baadhi ya binadamu ambao wapo nyuma kutojua tulipo na tunapoenda, hawa wanajua jana na muda huu alipo basi.
Hii...
AI inao uwezo wa kujichanganya, tuwe makini asee.
Leo katika kuchakata swali moja la kitafiti la kutenganisha bidhaa zilizomo katika pombe nikagundua. Ili kuzitumia taarifa zilizopo katika mfumo...
Tazama mafunzo kwa vitendo upate uelewa mzuri kama ulikuwa unafuatilia mafunzo ya Java
Video ya SOMO la kumi imekuwa ndefu sana kutokana na umuhimu wa kipengele katika Java Programming Language...
Pia Kuna uwezo wa kutawala mazingira ya kazi, unaweza kutazama mazungumzo ya mwalimu na mwanafunzi mafunzo ya Android Development
https://youtu.be/ojcQVRNgPoE?si=QFmm1-mntjpXukxa
Mwenye uelewa naomba msaada kwenye simu yangu kuna wakati naona Ina anatoa ujumbe huu"sms sent" wakati huo sijaandika wala kutuma sms yoyote na hiyo sms siioni zaidi ya huo ujumbe.
Nimejaribu...
Nilijifunza matumizi ya internet kwanza
Nikatumia muda mwingi kujifunza mambo mengi ya namna ya kunufaika mtandaoni
Nikaona habar ya kumiliki website, kununua sina uwezo nikajifunza html kama week...
Nishirikishe kwa kunielekeza site ipi na weza pata latest move for free...
Kama ni Utorent basi nipatie Link ni goes on of it...
Natanguliza shkran za Dhati.
Wakuu mwenye chimbo la translater nzuri yenye Kiswahili kwenda lugha zingine Duniani free plizz anisogezee hapa kwangu...
Natanguliza Shukran za dhati Kwa alie tayari asante sanaa
Wakuu naomba mnisaidie Email Application ambayo itanisaidia kuona mambo mbambali.
- Blue tick kama mtu husika ameifungua na kusoma Email yako niliyomtumia(Kama ilivyo kwa WhatsApp au Fb...
Wakuu salamu!
Kama heading ilivyo, naomba msaada kwa anayejua. Rafiki yangu aliweka pattern kama lock ya simu (aina ya Oppo F1s) siku chache zilizopita, sasa akaniletea ili niweze kumsaidia...
Mnamo 2018, Elon Musk alizindua Tesla Roadster yake angani.
Hakuandika chochote kama "Made in America" au "Made by Tesla."
Aliandika kwa urahisi, "Made on Earth by humans."
Habari zenu wataalamu wa IT shida yangu km nilivyoandika hapo kwenye heading msaada please sihitaji cheti Mimi nnataka ujuzi wa IT ethical hacker nna diploma ya ict
Jamani kwa aliyeshatoka kutumia hii huduma ya halotel fibre ipoje na ipo reliable?
Mm kwa sasa nakaa goba ila natumia hii router ya airtel 5g nalipia hii 30mbps kwa 110,000 na during peek hours...
Kama una betri la laptop hapo Juu Dell Inspiron 3576 nahitaji Used Bei tutaongea
Betri atleast liwe longer 3 Hours.
Napatikana Mombasa dsm
Serious Dm me /0627796644
Wakuu,
Hii application ya GePG imekua ni kero kubwa sana kwa watumiaji wanaotaka kulipa bills mbalimbali, kama unaifuatilia playstore ukisoma comments utaona criticisms ni nyingi kuliko...
Siku za nyuma nilinunua Smart TV ya LG yenye ukubwa wa inch 55 model number 55SM90. Katika Katika kui unbox nikabandua karatasi la plastiki lililokuwa kwenye kioo nikidhani ni yale makaratasi kama...