Kwa wapenzi wa TV, ushauri namba moja naweza kukupa, usinunue TV used. Never. Pambana na jikusanye ununue mpya.
Sasa unavyonunua TV dukani au unaangalia online unaangaliaga vigezo gani? Najua...
From my own experience nilijichanga ili geto nisikae kinyonge niwe nasikilizia muziki pamoja na Fm stations kilichotokea ni vice versa na hasara ya Tz shilling 110,000/= just imagine ndani ya...
Habari wakuu,
Naomba msaada jinsi gani naweza tengeneza website / blog ambayo itaweza kuonekana kwenye search engine ya Google
Ambaye anafahamu nipitie site ipi ili kutengeneza hiyo website /...
https://x.com/SamsungMobileUS/status/1800233900389617979?t=VDdvhRoSeZ0LKEnI_RgKcw&s=19
Kampuni ya Kikorea "Samsung" imeleta features nyingi zinazowezeshwa na Artificial intelligence kwenye Samsung...
Tusanue apps zipi unatumia kwenye simu, Android OS au iOS Ambazo zinakurahishia kwenye nyanja tofauti.
Tuambie na namna ya kuzipata.
Mfano:
Hii unaweza kuipata kwa kuidownload kutumia browser...
Hello bosses, hv karibuni nimeanza kutumia AirTM kupokea malipo mbalimbali kutoka nje ya Tanzania sababu niliona wanasupport withdraw methods nyingi za Kitanzania ikiwemo banks na mitandao ya...
Wakuu kotokana na kuishi Kwangu mtaani hapa nikiwa na solve matatizo madogomadogo ya husuyo simu na umeme sasa jana nimepita sehemu ni mepewa hili nimejitahidi kulikimbia Kwa kua vifaa muhimu Mimi...
Internal Divide Space Sound Material Soundproof Folding Removable Divider Wall for Classroom
AcousticPartitionWall was founded in 2011, located in Guangdong Province, China, specializing in the...
Nimesajili laini ya Halotel mpya, hii ni baada ya kupoteza laini niliyokuwa nikitumia ambayo haikuwa na matatizo yoyote, ni vile tu nilisajiliwa na mtu ambaye niko mbali naye kwa sasa (Ex)
Laini...
Kuna mtu alisema ukitaka kutatua tatizo kubali kwanza kwamba lipoo
Na hili ni tatizo tayar lipo
Nije na ushahidi kwamba mfano huko nchi kama marekani watu hawa somi hii taaluma ili kuajiliwa na...
Je, nawezaje kuwa female programmer? Naanza kusoma vitu gani Kwanza? Kuna vitu vya kusoma kabla ya coding? Je natakiwa nijue languages zote za computer au nikijua python na java zinatosha...
Wakuu nisiwapotezee muda, kwanza kabisa nikiri kuwa sina utalaamu na mambo ya watoa huduma za mawasiliano hapa Tanzania hasa makampuni ya simu.
Tatizo langu ni kuwa nilinunua smart tv na kuja...
Katika soko la vifaa vya kielektroniki, kununua iPhone mpya au iliyotumika ni chaguo linaloathiriwa na mahitaji na bajeti ya mtumiaji. Kuelewa tofauti kati ya iPhone mpya na iliyotumika ni muhimu...
Habari zenu wakuu, sisi wazee wa online tumekuwa tukitumia njia nyingi na app nyingi katika kutazama Mechi za Barani ulaya, na mashindano mbalimbali kama Uefa Champions League, FA, Carabao n.k...
Nina HDD 1tb nimeongeza na 128gb SSD kwa ajili ya Windows na system ili kuwezesha PC kuwaka haraka na kweli mabadiliko nayaona PC inawaka haraka na inakuwa tayari kwa matumizi bila ya kuirefresh...
wakuu nina mashine aina ya RICOH MP 2501 SP , napataje free drivers ili nitumie kama printer?
Kila driver ninayoiona mtandaoni inauzwa. Msaada tafadhali