Mambo vipi wadau wa Jf habari za mida hii, naomba mnisaidie kidogo hapa mwenye kujua kidogo kuna simu ilikuwa vizuri tu ila baada ya kuona inagoma goma infinix SMART 7 HD Nika restart,
Imekuja...
Naomba msaada simu yangu aquos sense 5g natumia laini ya voda NI week sasa nimtumia mtu SMS may be Habari! Kule nakotuma SMS zinaenda zinaenda zaidi ya 5 Yani inakuwa kama hivi
Habari
Habari...
Wakuu habari, samahani nina shida ni hivi nilikuwa natumia iphone ila badae ikanizingua ikafa jumla, nikapoteza kila kitu, sasa nimenunua Android.
ila nataka nirudishe kila kitu changu from...
TIGO POST PAID:
15 GB kwa 15,000
35 GB kwa 35,000
48 GB kwa 40,000
72 GB kwa 60,000
120 GB kwa 100,000
Gharama ya usajili utalipia kiasi kinacholingana na bei ya bando unalotaka kuungwa...
Jamani, simu yangu inatumia sana bandle la internet. Je, nifanye njia ipi kupata bundle kwa bei nafuu kwani nataka kuanza kusoma kwa kutumia online mecahnisns.
Hivi wale wa internate cafe mbona...
Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshindwa kuupata...
Mwenye access ya kunisaidia kunifanikishia kujiunga na huduma za post paid ya mtandao wa simu wowote ule naomba tuwasiliane PM.
Longolongo za fika tigo shop, Voda shop, Airtel shop sijui...
Wadau nilinunua hii simu kwa mtu ambaye aliuziwa na mtu na yeye alisema usiirestore itajifunga
Mimi mbishi nikatumia itunes nika iupdate kisha nikairestore hapo ndo kasheshe simu ikajifunga...
Habari wana JF, Mimi ni Developer ( Web & Mobile ). Nina uzoefu na web development upande wa Backend na Frontend. Pia nimejifunza mobile app development kwa Flutter na nimefanikiwa kufanya project...
Habari wanaJamiiForums
Karibu kwenye uzi wetu mpya unaolenga kila kitu kuhusu Digital Marketing!
Katika enzi ya kisasa ya kidijitali, kuelewa wa uuzaji wa kidijitali ni muhimu kwa biashara...
Wakuu samahani, Ni Mara yangu ya kwanza ku install Windows, nimeweza ku download na ku created bootable flash drive. Sasa kwenye ku install Windows imegoma inaniletea notification Kama...
Ukitizama ulimwengu utajua hakuna kinachodumu milele duniani Kuna vitu vitakuja na kuondoka Walipotoka Apple sijui niseme kuzuri au lah [emoji3] ngoja niwaache kama walivyo ila wanapokuja ni...
Baada ya kujishauri nichukue Aina IPi ya radio Kati ya Anker na JBL Nikaona wacha nivute JBL ni unyama mno Basi majuzi nikaingia mjini kununua redio brand za JBL Hawa jamaa redio zao zinapiga...
Katika kutatua changamoto ya utunzaji wa "Data" na utengeneaji wa "Taarifa(Reports)" mbalimbali katika uendeshaji wa shughuli za kila siku shuleni, kutana na mfumo wa kidigitali unaofahamika kama...
Wasalaam,
Napenda kujifunza kutengeneza animation za cartoon huwa ninakuwa na ideas za scripts nyingi sana Ila sina sehemu za kuziwasilisha kama inavyotakiwa naomba wenye ujuzi na hizi animated...
Wataalam, nisaidieni hapa namna ya kuset premium message,, maana naona nakosaga hivi vihela vya vocha.. Hizi message zinaingiaga kwenye Simu yangu mara kwa mara