UPDATE / MREJESHO:
Tatizo lipo kwenye case ni usb 2.0, nimetesti kuiunganisha moja kwa moja kwenye desktop speed ni nzuri MB 50 kwa sekunde, chief mkwawa kanishauri ninunue case ya usb 3.0...
Habari wanajukwaa natumaini mbuheri wa afya.
Leo naomba nigusie japo kwa kiasi kuhusu hizi apps za mikopo ambazo kwa Sasa zimekuwa nyingi sana na promotion kubwa inafanyika huko YouTube...
Wakuu habari za mida!
Nilinunua simu mkoa wa kigoma nikizani nmenunua samsung galaxy s10 plus... kumbe nmenunua docomo s10 plus sasa kinachonikera ni kuona ikiwaka inaonesha logo ya docomo...
Je, dhana hii ni kweli...? inaaminika kuwa watumiaji wa simu zenye mifumo ya "android" ni kuwa wako hatarini zaidi kudukuliwa kuliko watumiaji wa simu zenye mifumo ya "iOS"
Kwanza nimpongeze mama Samia anaupiga mwingi watoto wa kizimkazi tuko nyuma yake [emoji3][emoji3]
Wakuu Poleni na Starehe.Aiseee hivi wapi naweza kupata free PSD template za Adobe Photoshop Free...
Aise kama unataka kuanza ku code kitu kabla hauja chagua frameworks hakikisha unapitia cost za deployment kwanza, bila hivyo utajikuta system yako unatumia mwenyewe kwenye localhost
Ipo hivi...
Habari zenu anaejua duka linalouza graphics card used anipe mawasiliano yao nahitaji ile yenye umbo dogo low profile mashine yangu ni SFF kuanzia GTX 1060 au RX 590
Habari ndugu zangu.
Naomba kuuliza website ninazoweza download PS4 games bila shida.
Nilizoea kutumia kickass na piratebay Ila naona hazieleweki kabisa siku hizi.
Naombeni msaada huo Wana JF.
Advantages:
you can carry a mobile phone with you so you don't miss important calls
if you are lost, you can call for directions.
if you are in an accident, you can call the police or ambulance...
Wakuu naombeni msaada computer yangu imezingua yaan nikeiwasha feni zake zinazunguka kwa Kasi sana but kwenye kioo hai display chochote yaan hata taa zake hazioneshi kama computer imewaka sijajuwa...
WHATSAPP BOT
Ulimwengu wa Sasa matumizi makubwa ni ya artificial intelligence (robot) now Whatsapp Kuna robot maarufu kama Whatsapp bot.
BOT FEATURES
🤖 Auto View Status
👉Hii utaview status ata...