Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Heshima kwenu wadau. Naomba kuuliza kuhusu Poweramp Player kama kuna mtu ambaye amewahi kulipia hii Player anipe maelekezo kidogo. Naweza kulipia kutokea kwenye account yangu ya benki Moja kwa...
3 Reactions
59 Replies
1K Views
COMPUTER LITERACY UTANGULIZI KUHUSIANA NA COMPUTER Nini maana ya computer Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa / maagizo...
3 Reactions
15 Replies
8K Views
Mada Software Development Mwelekeo wa tasnia ya kutumia kutekeleza program yako 1. Ama. Web development 2. Mobile App development 3. Ama Desktop App development 4. Ama Analytics Systems N.k -...
1 Reactions
0 Replies
959 Views
Mafunzo ni online vigezo uee na computer, ujue kusoma na kuandika
1 Reactions
5 Replies
351 Views
Heri ndugu. Kama kuna mtu ana Kaspersky,nahitaji
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Hawa jamaa walikuwa hawako hewani siku nyingi. Wakarejea na kutuma meseji Kwa tuliokuwa wateja wao. Cha ajabu ukiwapigia hawapokei simu, na ikitokea bahati mbaya wakapokea wanajibu utumbo na...
3 Reactions
23 Replies
933 Views
Kama wewe ni mfuatiliaji wa Tech basi hili neno umeshakutana nalo mara nyingi sana "iSheep" Huwa sipendi kulitumia kwa sababu naona kama ni offensive word ila kwa teknolojia ilipofikisha wateja...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Je hii decoder inatumikaje na dishi lake ni la aina gani? Inaweza tumika kwa madishi ya azam au dstv au antena ya startimes?
2 Reactions
10 Replies
663 Views
Wakuu kama nilivyoandika kwenye title, je madj kama juma khan, mark na murphy wanatumia software zipi kutafsri movies?
2 Reactions
1 Replies
249 Views
Habari naomba kuuliza nina decorder ya Azam tv resolution inayosoma kwenye hdmi niliyonunua dukani ni 1080i na quality ya picha sio nzuri ,, Je, wanaotumia Azam tv wakiwasha kisimbuzi chao...
1 Reactions
3 Replies
652 Views
Hasa kwa complex project Mda sasa nimekua nikitumia python kama primary PL Moja ya sida kubwa sana ni speed, aise python ni tabu sana Leo nimeanza kufanya project ambayo natumia python na cpp...
2 Reactions
12 Replies
476 Views
https://www.instagram.com/reel/C1nDREBvrDI/?igsh=MzY1NDJmNzMyNQ==
1 Reactions
9 Replies
535 Views
Bei yake ikoje??
12 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwema wazee? Nataka nifanye connection ya cpe kwa umbali wa km 1. Baada ya kufanya research nimeona kuna hivi vifaa wanaita cpe mfano tp-link cpe610 ambazo kuna hizi kampuni za kutoa huduma ya...
2 Reactions
7 Replies
459 Views
Naomba kusaidia, app ya CRDB Simbanking hakioneshi kitu nilipoi update hii toleo jipya. Kila Niki install ,nikifungua inaonesha blank.
0 Reactions
1 Replies
268 Views
Nimeipenda sana simbanking mobile App kutoka benki ya CRDB.Hii app inapatikana kwenye playstore na inakuwezesha kufanya mambo mengi yakiwemo Kufanya cash transfer kutoka kwenye account ya CRDB...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa naomba kwa yeyote mwenye uelewa Mpana juu ya haya matoleo mawili Samsung note 10+ na google pixel 6,ipi ni Simu bora zaidi kwa matumizi ya mtanzania anayependa vitu vikali.
6 Reactions
70 Replies
11K Views
Imekuwa too much sasa, video unaicheki youtube unaanza kusoma comments za mrejesho, ushauri, ukosoaji, nyongeza, n.k. Ila unakutana na comments za kuomba likes. Wanakera sana hawa watu Uki...
1 Reactions
6 Replies
339 Views
Wakuu kwema? Wapi naweza pata kampuni zinazo provide VPS hosting. Kuna project zangu nimetengeneza na react na mern nahitaji ku deploy online Please nitashukuru sana
3 Reactions
5 Replies
707 Views
Nimeluhusu sehemu zote zihusianazo na security & install unknown apps. kila nikijaribu ku install inaandika hivi 👇 Msaada plz.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…