Nina mpango wa kulima kimojawapo lengo ni kulima heka 3 cha msingi nahitaji kujua zao lenye faida zaidi ya lingine, changamoto zake, soko pia muda nitakao utumia tangu kupanda mpaka kuvuna
Kama inavyojieleza hapo juu ningependa kufahamu kama Sugar Beets ambayo ni mbadala wa Sugar Cane (MIWA) kwenye kutengeneza sukari ya majumbani inalimwa wapi hapa Tanzania.
Inakuwaje ndizi zinakuwa zimekomaa kabisa, tena zingine kukomaa kiasi cha kuanza kupasuka lakini nikizikata ili nizivundike ziwe mbivu basi huwa haziivi vizuri, na hata zikiiva basi inakuwa kwa...
Leo natamani kutoa elimu juu ya malezi ya vifaranga wa kuku wa kienyeji ili kupata tija. Napenda niwatoe wasiwasi kwa kuwajulisha kuwa haya mafundisho nitakayoyatoa nimeyasomea ( Agricultural...
Jamani mwaka huu niliamua kuwekeza katika kilimo cha matikiti.
Katikati ya safari, kuna ugonjwa umekuja siuelewi. Msaada tafadhali niokoe mkosi huu. Moyo unauma sana maana ni pesa kubwa na mkopo...
Wengi wanamfahamu punda kuwa ni mnyama anayefanya kazi, jamii za Tanzania hasa mkoa wa arusha na manyara wanamtumia punda kwa ajili ya kubeba mizigo yao, wengi wao humbebesha punda mzigo mgogoni...
Wakuu picha inajieleza,
Majani ya vitunguu yanaanza kusinyaa kwa juu kuja chini na kugeuka ya njano. Ukipasua jani ndani unakuta kuna funza au wakati mwingine humkuti lakini majani yanazidi kuoza...
Hello,
Natafuta mifuko/magunia maalumu ya kuhifadhia mahindi. Hiyo mifuko imekuwa maarufu kwa madai kuwa ina uwezo wa kuhifadhi mahindi na kuyazuia kubanguliwa na wadudu. Kama unafahamu naipata...
Wakuu,
Tafadhali kama unajua vifaa kwa ajili ya ku-graft miti michanga ya maembe/parachichi vinapatikana wapi hata nchini Tanzania basi fanya uungwana wa kunitaarifu.
Nimekuwa nikisoma/...
Naomba anitafute maana nataka awe agent wangu wa mchele tutalipana. Issue seriously
Pia, inabidi awe na idea na mchele kupitia eneo husika alipo ndipo tuende sawa
Habarini wana jamvi,
Kama kichwa kinavyosomeka. Mimi nipo Geita na nina takribani gunia nne za hilo zao na bado naendelea na uvunaji.
Natafuta mtu anayehitaji hii bidhaa nimuuzie. Nikipata...
Habari JF members.
Maisha ni watu na watu ni maisha, mawazo chanya 20 sio sawa na mawazo chanya 3. Ukweli unauma lakini ni tiba.
kwa mazingira ya Tanzania Kuna mtu akipata laki tano kwake ni...
Umofia kwenu,
Katika ufugaji kuna ufugaji wa aina nyingi sana, kuna ufugaji wa kwa ajili ya kuzalisha chakula na kuna ufugaji kwa ajili ya mapambo.
Ufugaji wa mapambo
Huu bi ufugaji wa aina...
Wakuu salaam
Nafikilia kuanza kufuga punda kwa ajili ya kilimo kubebea mizigo miepesi niendapo shamba na kurudisha baadhi ya mazao nyumbani.
Kuna mtu aliniambia kuwa ni maliasili kwaiyo mamlaka...
Habari wana JF!
Naombeni ushauri au uzoefu wenu kuhusu madawa yanayoweza kutumika kufanya palizi kwenye shamba la ufuta.
Nafahamu yapo madawa ya kufanya palizi kwenye mpunga na hata mahindi na...
Habari wakuu
Kuna kuku tulimpa Mayai 13 Atamie. Ila cha ajabu ametotoa vifaranga 2. Siku ya jumanne, leo siku ya ijumaa kwanzia asubuhi hataki Tena kutamia , shida ninini?
Je haya Mayai 11...
km ww ni mjasiliamali unaejihusisha na ufugaji kuku, ng'ombe wa maziwa na/au ngurue na unapata wakati mgumu saana kupata ushaur wakitaalamu juu ya mfumo mzima wa ufugaji unaoufanya na hata...