Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari za jioni wanajamvi. Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi au anayejua namna ya ufugaji wa samaki. Upatikanaji wa mbegu, uchimbaji wa kisima, chakula, muda wa kuvuna toka kupanda na namna ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba msaada kuna mchwa wamejenga chumbani ambayo inahatarisha uhai wa nyumba ni nyumba ya matofari ya kuchoma Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Makundi ya Tembo yamevamia katika baadhi ya vijiji vya kata ya Lubungo wilayani Mvomero kijiji cha vianzi kitongoji cha Menge mkoani Morogoro na kuharibu mazao kwa mara nyingine tena. Mmoja wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya mvua kuchekewa kunyesha, shamba nililokuwa nikilima mahindi nimeona bora nilime mbaazi. Lakini hiki kilimo kwa kweli sina uzoefu nacho. Nimeamua kulima mbaazi baada ya kugundua zina uwezo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Utaelewa kwani nini Wakulima wengi wanapenda kulima nyanya kwenye green house na sio mazao mengine Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
2K Views
naona serikali ingeruhusu watu wafuge baadhi ya wanyama wa porini ingekuwa poa sana. aina za nyama zingeongezeka na kipato kuongezeka. tungeongeza pesa za kigeni maana tungekuwa tunatoa nyama...
4 Reactions
41 Replies
13K Views
Heri ya mwaka mpya wana JF. Kuna tatizo kubwa sana lipo mtaani hasa huko vijijini kwa wakulima na mijini kwa walaji wa mazao ya mbogamboga kama nyanya na matunda ya matikiti na matango. Tatizo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Vyakula mbadala hasa wadudu ndo wanaaminika wanaweza saidia kupunguza balaa linalo nyemelea Dunia kwa sasa. Ninavyo zungumzia wadudu nazungum,ia Edible insect. Hawa ni wadudu wazuri kwa ajili ya...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Naomba nitoe ushuhuda kidogo. Mimi ni moja ya watu ambao najaribu kuwekeza kwenye kilimo ila naleta ushuhuda ili liwe somo kwa serikali na wananchi kwa ujumla. Maka jana nililima ekari 20 za...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Ajira zimekuwa ngumu sana,nahitaji vijana 10 wa jinsia tofauti tufanye kilimo cha mahindi,eneo nimeshapata ekari 50 kinachohitaji ni hao vijana 10 kwa ajili ya nguvu kazi ,kununua mbegu,mbolea na...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari za weekend wanajamvi. Wakuu naombeni ushauri wa mbegu bora ya nyanya ya kisasa inayostahimili wakati wa masika na bei yake. Naomba kuzijua mbegu zinazozaa vizuri wakati huo na...
1 Reactions
15 Replies
16K Views
Nilikuwa nauliza anayejua aina za dawa za - Kunywesha na sindano kwa ng'ombe - Mwenye minyoo Ambaye unampa kinga ya minyoo Aina ya minyoo inayoshambulia ng'ombe Majina ya dawa ikiwezekana na bei...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam; Nimepata habari kuwa Naibu Waziri wa Kilimo Mh. Bashe ametoa maelekezo kwa vyama vya ushirika nchini kusimamia uzwaji wa mpunga na mahindi upitie kwenye vyama hivyo kwa utaratibu wa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndugu wazima jamani! Mimi ndo nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji na nina muda wa mwezi sasa. Tatizo vifaranga wangu wana ugonjwa wa mafua naweza kuwapa dawa gani? Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu naombeni ushauri. Nina wazo la kuingia shambani, nilime zao gani kati ya nyanya na kabeji? Na ninahitaji kupata zaidi ya million 2 katika kilimo, nilime kiasi gani ili kufikia lengo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nitahitaji kuanzisha biashara yangu ya duka la nguo. lakini huku kwetu ni washirikina sana.na mimi sihitaji kjihusisha na ushirikina na hata biashara...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kauli ya Mheshimiwa bungeni kuwa bei iliyopanda ya mahindi ni faida kwa wakulima hakika si kweli na uwazi kuwa hujui tabu za wakulima. Mahindi huanza kuvunwa mwezi wa 4 hadi wa 7 na ndiyo miezi...
11 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu Habari,mwenye Ufahamu Wa Matumizi Na Faida Za Super Gro Kwenye Nyanya Anijuze.Nasikia Ina Umuhimu Sana.
1 Reactions
38 Replies
10K Views
Wadau kwa Hali ya mvua mwaka huu kilimo Cha mpunga chaweza kuwa na manufaa,nataka kuwekeza mikoa ya shinyanga na tabora,ushauri kwenu Ni mda gani sahihi wakusia mbegu kabla ya kupanda-naweza mwaga...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…