Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari ndugu zangu wa JamiiForums, Nilikuwa naomba msaada wa kujua moja mbili tatu ya biashara na ukulima wa maharage machanga, naomba kujua mfano kwa upande wa Arusha nasikia kuna makampuni...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nimenunua incubator ya kutengeneza hapa ndani. Tarehe10/12/2018,niliweka Mayai tray 20 kwa Mara ya kwanza. Mwisho wa siku vimetoka vifaranga30 tu. Wajuzi nisaidieni,hapo tatizo ni Mashine au...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kwa wale wajuzi wa aina za mbwa naomba mnisaidie utaalamu wenu kwa mbwa huyu, anaonekana ni chotara sasa ndio nataka kuelewa amechanganyia na mbwa gani kwa muonekano wake. Ana mkia...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Wadau wa kilimo, naomba msaada kwenye changamoto hii ya ugonjwa kwenye miti ya matunda. Ugonjwa huu pia umeshambulia miembe, mistafeli na mipapai. Pichani ni mti wa mpera umepata ugonjwa kama...
3 Reactions
24 Replies
10K Views
Baada ya kukomaana nikaamua kulima na hatimae nimefikia hapa nimeamua kulima mahindi, na kunde kiukweli nashukuru nilipo fikia. na mwakani nampango wa kulima ufuta hapo hapo kiukweli shamba liko...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba ushauri kwenu maana mimi sasa nashindwa nitumie mbolea ipi. Kwa kifupi mwaka juzi nilitumia Dap ilinipa matokeo mazuri, mwaka jani nikaambiwa Yaraceitirio nikatumia sikupata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa pamoja ndugu zangu, Mimi nimejiunga huku kwa nia ya kujifunza, kwa namna ya kipekee sana mmenipokea na kunionyesha ushirikiano hasa pale nilipohitaji msaada wa mawazo. Asanteni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamii Niko mikoa ya nyanda za juu kusini. Nashukuru sana kwa watu wanaochangia elimu kwa jamii kupitia jukwaa hili. Ninalo shamba ambalo sijaliendeleza ekari NNE. Ninapenda kufanya kilimo cha...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Imeunganishwa huku https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1631168/
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Pamoja na Jitihada kubwa zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano kuboresha zao la korosho kwa wakulima kupata bei nzuri ambayo haijawahi kutokea hapo nyuma kwa mfumo wa stakabadhi ghalani, mfumo...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Nimeona kwenye mitandao na kugundua kuwa kuna kilimo ama ufugaji wa konokono katika nchi mbali mbali hapa duniani na soko lilivyo kubwa la wakonokono duniani. Nimeona Nigeria wao wamefanikiwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
salaam! nimeanzisha ufugaji na nataka kuwa na shamba kubwa la ufugaji,eneo nimepata na nimeanza kiasi sehemu nyingine kabla sijahamia rasmi kwenye shamba kubwa gharama ya kununua chakula iko...
1 Reactions
29 Replies
15K Views
Mimi ni mkulima wa nyanya nipo Singida. Sio mbaya tukabadilishana uzoefu kuhusu zao hili ambalo kimsingi zao hili linawatoa sana watu ukilima ipasavyo. Hebu tuambiane upo mkoa gani na mbegu ipi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nahitaji kuzipata Chicken water drinking cups kwa bei nafuu. Maana kama miezi mitatu nyuma kuna jamaa mmoja Kariakoo aliniuzia kwa 1500 kwa pisi sasa leo nimerudi tena nimezikosa na kuingia maduka...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nafuga kuku, ila kwa siku za karibuni nimeanza kufuga bata maji, na sasa nna bata 150, naomba ushauri je niwaache waendelee kuzaliana au niwauze! pia kama unajua soko la...
1 Reactions
11 Replies
10K Views
Naomba mwenye utaalamu wa ufugaji wa bata mzinga anipe elimu. Nataka kufuga kibiashara
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu nimeweza kulima nyanya, ziliota vizuri na nimejitahidi kuzihudumia dawa aina zote; yaani yakuzuia athari za ukungu na ya kupambana na wadudu haribifu. Sasa cha kushangaza zilipofika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ng'ombe alipigwa Dexamethazone akiwa na Mastitis, akakata kutoa maziwa, yakakauka kabisa. Nadhani huyu alifanya makosa kumchoma hiyo sindano. Nifanyaje aweze kutoa maziwa tena?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, naomba kupata uzoefu,nahitaji kununua cages kwa ajili ya kuku wa mayai. Je, cages bora na za kisasa ambazo hazishiki kutu, na zinazokaa muda mrefu na bei nafuu zinapatikana wapi?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari jamani, nduguzangu poleni na majukukumu, naomba msaada wenu kuku wangu wana shida moja, kwenye kutotoa ukute kuku ana mayai 12 lakini anatotoa machache Sana naombeni msaada wenu juu ya hili.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…