Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

mdogo wangu kachaguliwa SUA diploma in seed technology baada ya kumaliza form four na kupata two akaomba akapata hiyo anaeijua kiundani Kwa WiGo mpana naomba msaada? na Inatofauti ipi na crop science?
0 Reactions
4 Replies
347 Views
Habari zenu. Je, kuna mtu amewahi kujikuta katika nafasi ya kuwa na soko la kimataifa la mazao lakini akakosa mtaji wa kuwezesha mikataba ya kibiashara? Tafadhali shiriki uzoefu wako katika...
1 Reactions
0 Replies
111 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu salaam. Niko hapa mkoa wa Geita nilikuwa nashida ya kupata ng'ombe wa maziwa ambao wanaweza kutoa angalu Lita 20 kwa siku. Mwenye uelewa sehem napo weza pata hawa ng'ombe! Msaada wakuu...
3 Reactions
4 Replies
358 Views
Kwa mahitaji ya uduvi safi kwaajili ya chakula ya kuku piga +255679903535 Karibu sana.
0 Reactions
11 Replies
665 Views
Habari zenu ndugu zangu wajf leo nimeamua kuanzisha hii thread inayohusu ufugaji wa ng'ombe wa kisasa /maziwa kwa minajiri ya kujaribu kusolve changamoto mbalimbali zinazowakumba wafugaji wa...
12 Reactions
59 Replies
19K Views
Wanajenzi na shida na kondo chotara nipo Arusha
2 Reactions
2 Replies
175 Views
Hello wakulungwa Naombeni abcde..z kuhusu kuku wa mayai aina ya layers Nataka kufuga kuku 1000 layers Kampuni Interchic. Hadi waanze kutaga maximum nitakua nimetumia kiasi gani kwenye chakula n...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwema wakuu kuna shamba linauzwa, lipo moshi karibu na nyumba ya Mungu, linafaa kulima vitu mbali mbali. Lina ukubwa wa hekari 24, bei ni 80m. Karibu Dm
1 Reactions
3 Replies
329 Views
Wasalamu wadau, Ninajiandaa kwa kilimo cha alizeti. Naomba kwa anayefahamu mbegu nzuri, inayotoa alizeti na mafuta mengi anijuze. Asanteni na Mungu awabariki
0 Reactions
17 Replies
20K Views
Habarini wadau wa JF, nimeamua kuanzisha uzi huu kwasababu nimetafuta data zote kuhusu Ngamia nimekosa. Nataka nifuge Ngamia, mmoja au wawili wananitosha. Je, nina wapata wapi? Bei ya ngamia...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Naomba kwa anayejua Sumu ya kumuangamiza kicheche anijuze! Maana wananisumbua mno, wanakula mayai saana kwenye Banda la kuku wangu
3 Reactions
13 Replies
664 Views
Habari za mapumziko! Inasikitisha sana kuona sekta muhimu za kuleta maendeleo hazipewi kipaumbele Kwa maana ya kupewa rasilimali pesa kulingana na bajeti zilizopitishwa na Bunge, sekta muhimu...
1 Reactions
3 Replies
193 Views
Sijui soko la Sasa la pilipili like ila ningependa kujua ili nilinganishe na wakati huo pilipili ikishakuwa tayari Hivyo naombeni kujuzwa soko lake likoje yaani pilipili inauzwaje kuanzia kipimo...
4 Reactions
12 Replies
655 Views
VYOMBO VYA CHAKULA KWAJILI YA KUKU CHICKEN FEEDER NDOGO ZA KILO MBILI TUNAUZA VIFAA VYA UFUGAJI KWA BEI NAFUU JUMLA NA REJAREJA Hizi ni bei zetu za vyombo kuanzia pc 10 1. Small Chicken...
1 Reactions
0 Replies
323 Views
MASHINE YA KUCHAKATA MAJANI | GRASS CHOPPING MACHINE | CHAFF CUTTER Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02 joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo Muda...
0 Reactions
0 Replies
365 Views
MBUNGE CHEREHANI: WAKULIMA WA TUMBAKU USHETU WAMEZALISHA BILIONI 67 Jumla ya Shilingi bilioni 67 zimezalishwa na wakulima wa Tumbaku katika Halmashauri ya Manispaa ya Ushetu kutoka katika bero...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amempongeza Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kwa kuendelea kuonyesha uzalendo katika kuendeleza sekta ya Kilimo. Waziri Bashe ameeleza hayo wakati...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Habari wakuu,Kwa mtu anayehitaji huduma ya mashamba ya kununua,viwanja kwa ajili ya makazi,ufugaji,kilimo, unapata maeneo,umeme upo.hekari moja inaanzia milioni 15 na viwanja kuanzia laki 8 mpaka...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Majina ya Samaki , Maelezo na Picha (SAMAKIPEDIA) Blobfish Blobfish ni samaki anayetajwa kwamba ni kiumbe mwenye sura mbaya na muonekano usio vutia kuliko kiumbe chochote. Blobfish Ni samaki...
13 Reactions
76 Replies
53K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…