Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Kilimo ni UTI wa mgongo Kilimo ni maisha Kilimo ni utajiri Kilimo ni chakula. Kilimo ni pesa na utajiri. Kilimo kina faida Pana na kina maelezo mapana ukielezea kiundani ndani. Leo tutatazama...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Naishi Dar nilienda kutembea mkoani Tabora. Nikavutiwa na Kilimo Cha Tumbaku. Nimelima heka 6 ambapo natarajia kupata kilo 600 kwa Kila heka Moja. Nitauza kg 1 $ 4.00, 3.5 nk Matumizi Heka 1...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanajamvi Aslam, Hama baada ya salamu ndugu zangu Ile safari yangu ya kwenda mji wa Mpanda kuona fursa za kilimo imetimia. Nilipata nafasi ya kutembelea baadhi ya vijiji tofauti tofauti Kwaajili...
19 Reactions
36 Replies
8K Views
Natamani sana kuingia kwenye kilimo cha zao Kati ya haya. 1.Bamia 2.Hoho 3.Biringanya. Nahitaji nianze kwa mtaji mdogo sana. Hivyo naombeni msaada wa zao moja kati ya hayo juu, ambalo linatumia...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jumapili njema. Huu uzi umelenga kutoa fursa kwa wafugaji kuhusu ufugaji wa vunjajungu (PRAYING MANTIS) na masoko yake. Pia unajumuisha ufugaji wa wadudu wengine ambao pia hutumika kulisha...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu, tupeane maujuzi ya kuongeza idadi ya wateja wa hizi bidhaa. Kuna siku namliza gunia la 25kg(magimbi) na siku nyingine znatoka fungu mbili tu daaah Hii ni kwangu tu au na nyie...
2 Reactions
12 Replies
365 Views
Nimekuwa nikifanya utafiti binafsi kwa kulima aina mbalimbali za mbegu za mahindi na kugundua yafuatayo. 1. ChapaTembo 719 Hii ni mbegu inayochukua muda mrefu kukomaa. Hukomaa baada ya miezi 4...
8 Reactions
18 Replies
5K Views
Taarifa hii ni kutoka Azam TV siku ya jumapili. Chuo Cha SUA wameweza kuanzisha teknolojia ya mimea inayopandwa shambani na kuweza kuzalisha nyama inayoweza kuliwa na mwanadamu, mhariri wa...
5 Reactions
18 Replies
912 Views
Kwa mahitaji ya karafuu kutoka morogoro tuwasiliane bei Tsh 22,000/= kwa kilo. Grade one isiyo na vumbi.
1 Reactions
4 Replies
533 Views
Wakulima wachache wa vijijini watamudu bei ya shilingi 15 elfu kwa mfiuko wa kilo mbili! Hakuna, watatumia mbegu zao ambazo hazina tija na ni za muda mrefu kuweza kuvuna na mvua hizi fupi! Soma...
0 Reactions
8 Replies
673 Views
Ndugu zangu habari zenu jamani, mimi kijana Nina miaka 23 naishi Morogoro. Katika harakati za kuhangaikia maisha nimekuja kugundua kijana kama mimi ili niweze kufanikiwa kwa haraka zaidi kilimo ni...
4 Reactions
27 Replies
8K Views
Habari wana Jf! Naombeni anaejua namna ya kutengeneza chakula cha kuku broilers na layers. Hasa zile formulas zinazotumika viwandani kwenye makampuni kama silverlands n.k
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Naomba kujua ni wapi maharage yanapatika kwa bei nzuri hususan kwa kanda ya ziwa alafu kwa bei nafuu? Na ni kwa bei gani hyo? Ni kwa kilo au gunia?
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Karibu nikuuzie kuku wa kimalawi 20 wanamiezi 2 na wiki 2 chanjo wamepata kila kuku m1 elfu 15 ni wakubwa nipo tabata mawenzi kwa mawasiliano zaidi nipigie no 0718343299
1 Reactions
3 Replies
309 Views
Nahitaji kulima dagaa Mwanza, hasa maeneo ya Kabuku mkoani Tanga. Kwa yeyote anayeuza eneo au shamba KABUKU -TANGA TUWASILIANE 0713383604
1 Reactions
3 Replies
302 Views
Habari zenu wakuu, Jamani mwenye connection ya mashamba anisaidie, nataka kama heka kumi kwa ajili ya kulima mkonge, maeneo ya Tanga au Morogoro, Yanayouzwa kwa bei rafiki Asante
4 Reactions
11 Replies
631 Views
Leo mchana katika pita pita nilikuta watu katika mtaa mmoja wanabishana kuhusiana namna ambavyo samaki hupata watoto au vifaranga kama watu wengine wanavyodai. Katika mjadala huo kulikuwa na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Naona bora niingie shamba tu akili yangu ilipofikia. Nataka kuingia kwenye kilimo cha maharagwe Arusha. Je, ni njia zipi zitahitajika kupitia kilimo hiki? Faida, hasara! Angalizi. Mahitaji, Eneo...
1 Reactions
28 Replies
11K Views
Ukuaji wa uchumi wa nchi ni pamoja na matumizi ya teknolojia mbalimbali ili kuongeza uzalishaji na kuinua uchumi wa nchi na maendeleo kwa ujumla. Katika Sekta ya uvuvi, kilimo cha samaki...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Naomba kama naweza saidiwa maswali ya interview ya afisa uvuvi msaidizi.
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…