Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Hivi ni kwanini kuku wa kienyeji baadhi wanataga mayai kuwa na rangi tofauti tofauti kwa mwonekano wa nje?
1 Reactions
9 Replies
455 Views
Habari wana jamvi, kama ilivyo heading hapo juu. Natafuta mtu ambaye yupo serious, committed, experienced and devoted; aje awe manager wa shamba. Shamba lipo Namtumbo Ruvuma. Note: 1. Shamba...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
JINSI YA KUFIKISHA VIFARANGA 1000 WA KUKU WA ASILI Habari ndugu zangu wafugaji pole na majukumu ya kila siku katika harakatu za kutafuta mafanikio Leo nimeona ni vema kushare na nyinyi jinsi...
18 Reactions
66 Replies
18K Views
Je, ni njia zipi bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji ambazo basi zitanifanya niweze kunufaika na ufugaji wakuku hao, lakini pia naomba kwa mwenye uelewa na kuku hawa anieleze ni mtaji kiasi Gani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ya leo wakuu, Ninauza dagaa kwaajili ya chakula ya kuku. Mawasiliano: +255679903535 Napatikana Dar es Salaam Bei: Ndoo ndogo 15,000. Ndoo kubwa 30,000.
2 Reactions
10 Replies
535 Views
Jamn kwa jua hili Tunaomba serikali iwape wananchi mafunzo na uwezeshi kwa kilimo cha umwagiliaji maana hali c hali
1 Reactions
4 Replies
365 Views
Ninanunua Mawe ya kwenye Nyongo ya ngombe. Kwa bei ya 35,000 mpaka 38,000 kwa gram. Yakiwa yamekauka. Kama unayo au kuna mtu anayo njoo pm.
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Nahitaji shamba la kununua hapa morogoro mwenye shamba naomba anijulishe
1 Reactions
8 Replies
851 Views
Wapambanaj wenzangu wakilimo hapa ulipo bei ya mahindi na maharage kwa gunia la kilo 100 ni shilingi ngap
1 Reactions
4 Replies
974 Views
Baada ya mvua za msimu huu kuwa za kusita na kupoteza mbegu kwa kupanda zaidi ya Mara mbili na kuungua na jua, huku nyanya nazo zikiwa zinachechemea, nimeamua kuanza ufugaji wa kuku chotara Aina...
35 Reactions
196 Replies
46K Views
Kwa mahitaji ya kuku wa kufuga na kula,kienyeji na chotara nitafute,ukihitaji vifaranga na mayai ya kutotolesha tafadhali usisite kunitafuta,karibuni sana wakuu.
4 Reactions
8 Replies
924 Views
Naombeni msaada kwa anayejua wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku chotara, kama uduvi, mahindi paraza, mashudu, pumba za mahindi nk kwa bei rahisi mkoani RUVUMA HASA KWA WILAYA YA MBINGA??
1 Reactions
0 Replies
269 Views
Habari ndugu, Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Salaam wadau! Nimefanikiwa kukusanya mbegu za maharagwe makubwa yanayostawi mwaka mzima na huwa yanaota kwa kuzunguka kwenye mti (kama ilivyo kwa mazao ya passion) na hutoa maharagwe mengi kila...
0 Reactions
13 Replies
481 Views
Habari za utaftaji ndug zangu nipo katika maandalizi ya vitalu vya upandaji miti ya fensi kwaajil ya kuzungushia uzio shambani Changamito ni upatikanaji wa mbegu za fensi ya michongoma au kwa...
1 Reactions
5 Replies
802 Views
Miti ya miembe imetoa maua mengi sana, la jabau ni kuwa maua yote yanapukutika na vijiti vilivyoyabeba maua vinadondoka. Tatizo ni nini na nini kifanyike in case miti inatoa maua mengine...
2 Reactions
34 Replies
8K Views
Wakuu nipeni ushauri. Wilaya gani mkoa wa Mwanza inatoa mpunga wa uhakika na maeneo mazuri kwa ajili ya kilimo cha mpunga. Soma pia: 60% ya mazao ya Afrika ni Ngano, Mahindi na Mpunga, japo kuna...
0 Reactions
6 Replies
754 Views
Binafsi mapenda kufanya kilimo cha biashara japoo sio kwa ukubwa huo ila hofu yangu soko lenye faida kwa mkulima lipo?!
0 Reactions
1 Replies
214 Views
Usifuge mbwa wa kinyonge fuga mbwa wakatili na gharama kama came corso, pitbull,dogo argentino, rottweiler ambao hata akizaa unauza bei nzuri unapata faida Achana na mbwa koko hawa wala mavi au...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Nahitaji kupanda miche ya kahawa/buni. Naomba kufahamu mbolea za kiwandani zinayotumika kwa upandaji. Naomba pia kufahamu kipimo kinachofaa kwa kupandia kwa kila mche/shimo moja. Soma Pia...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…