Wadau hamjamboni nyote?
Ng'ombe wakubwa aina hiyo pichani sijawahi waona hapa nchini tanzania. Naona hao wanapatikana Sudan kwenye jamii ya Dinka.
Wataalamu mifugo mtujuze kwanini hawapatikani...
Wakuu salaam Sana,
Huku jf huwa hatunyimani maujanja ya maisha Ni jukwaa Lina Wana POA Sana!
Nimeigia kwenye ufugaji wa nguruwe na nimeanza na wawili tu moja dume na mwingine jike ila uzao...
Je, Wewe unafahamu Nini kuhusu sekta ya NGOZI nchini hapa Tanzania? Na nichangamoto gani zinaifanya ishidwe kukua hapa nchini?
Ukilinganisha na nchi zingine kama Ethiopia n.k?
Ekari tano kulima ilinigharimu laki nne, nilipata vijana wanne kwa makubaliano unawapa sehemu ya kulala, wanatembea na kapu lao ndani wana sufuria. Wanaamaka asubuhi wanakwenda kulima mpaka saa...
Ufugaji wa samaki kwa vizimba ni njia rahisi na yenye tija kwa wafugaji samaki kibiashara. Nitakuelezea hapa hatua na gharama zake na mambo mengine ya kuzingatia.
1.Vibali vya uendashaji wa...
Wanajamii naomba kuuliza, mauzo ya katani yanauzwa kwa tone au kwa kilo? Na kwa sasa hivi zao la katani linalipa?
Naomba msaada wenu.
======
Inauzwa kwa tani, inafungwa katika marobota ya kilo...
Nina shamba la familia wilaya ya muheza, kilapura, Tanga. Ni shamba lenye ukubwa wa ekari 8.
Mimi nafanya kazi Arusha, hilo ndo jambo kubwa linalonipa mashaka katika usimamizi. Japo naweza pata...
Mdau wa Mtandao wa X zamani Twitter, kwa jina Swed Junior, aliibua swali la kuvutia kwenye mtandao: "Kwa nini watu wanawekaga mawe juu ya matikiti wakiwa shambani?" Swali hili lilivuta hisia na...
wadau niko kwenu hapa najaribu kufikiri kuanza UFUGAJI Sasa nawaza kuhusu UFUGAJI WA NGURUWE au kuku SASO naombeni ushauri wenu nataka kutengeneza pesa za ada mwakani.
NIKO MKOANI NA MTAJI...
Masoko ni nin? Masoko ni sehemu wanazouza na kununua bidhaa mbalimbali.
Tunaweza kutumia njia gani nje na hizi tulizo zizoea kila siku kuimarisha soko la watu wanao uza bidhaa mbalimbali kuanzia...
Mpendwa mwana JF, unaweza kushangaa kusikia kuwa mbwa ni biashara nzuri kupita hata kufuga ng'ombe kibiashara na ukashangaa.
Uzi huu utakuwa ni maalum katika kupeana uzoefu katika biashara hii ya...
Wana JF, nataka kufanya kilimo cha mapapai ila nahitaji mbegu za muda mfupi kuzaa ili nianze kuvuna mapema. Naomba msaada wa yafuatayo
1 Wapi nitapata mbegu fupi za muda mfupi kuanza kuzaa?
2...
Wakulima wa zao la Ngano Wilayani Makete, wameshauriwa kutumia Mashine bora za kisasa katika Uvunaji wa zao hilo, ambao umeshanza rasmi katika baadhi ya Maeneo ikiwemo kijiji Cha Mlengu kilichopo...
Huu ni msimu wa uuzaji mahindi na wanunuzi wakuu ni serikali, lakini ajabu nimetembela magodawni kadhaa hakuna mashine ya kupepeta taka kama hii hapa chini.
Wanatumia sefa za waya ambazo kwa...
KILIMO CHA NYOKA
Achana na Matikiti, Kuku, Vitunguu, au Mayai ya Kwale.
Hili sasa ndio Suluhisho.
Kilimo cha Nyoka
Fikiria uwe na Cobra 10.
Cobra mmoja anataga mayai 60 Kwa mwezi anatotoa...
Habari wakuu, nahitaji mtu anaelima au anayenunua kitunguu swaumu hii nikwaajili ya ushauri na kujifunza Zaidi Kuhusu kilimo hichi, nipigie au nitext hapa 0613389628 au Ni dm, nitakushukuru.
Hatua za kufuata ukitaka kulima nyanya chungu
Nyanya Chungu ni zao la Kitropic linalotoa mazao yake kama matunda au kama mboga. Rangi ya matunda huwa kijani kibichi au kijani-njano, au...