Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

salam kwenu wanajamnvi..!!! Wadau naomba msaada wenu kwa yeyote anayejua ni wapi zinapatikana mabalo/marobota mazuri ya nguo mixer za watoto kuanzia O-5 ya grade ya kati na pia naomba kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau kuna kiwanja kizuri katika eneo la Bunju kata ya Mabwepande (Manispaa ya Kinondoni-Dar es Salaam) karibu na eneo maarufu la Manzese ambapo kuna huduma zote za msingi kama vile: - Maduka...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi ni kwel kilimo cha bustani kinaweza kumtoa Mtanzania katika umaskini?? Ni juhud gani zinafanywa na serikali kumkomboa mtanzania anaejishughulisha na kilimo biashara????
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Aliye mwandishi mzuri wa cafeteria /canteen business plan tuwasiliane ASAP aniPM. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF Mkoa wa Kigoma ni moja ya mikoa ambayo maendeleo ya kielimu bado yako chini sana (kuna vyuo viwili tu vya ualimu na hakuna shule nyingi - hata zilizopo ufanisi wake ni mdogo ukilinganisha...
2 Reactions
4 Replies
10K Views
Mtoto wa kaka yangu alifeli kidato cha 4. Nataka nimfungulie ofisi. Je, kati ya saluni ya kiume na biashara ya mitumba ipi inalipa vizuri? Kiasi ninachotaka kumpa ni Tsh 3,000,000/. Na kama...
0 Reactions
29 Replies
11K Views
Nataka nianze kufyatua tofari kwa biashara. Naomba msaada wa gharama za mashine.za umeme na manual. maeneo muhimu kwa mradi kama huo Natanguliza shukurani zangu za dhati.
1 Reactions
15 Replies
6K Views
VITABU VIFUATAVYO VYENYE KANUNI (FORMULATIONS) ZA UTENGENEZAJI WA BIDHAA MBALI MBALI VINAPATIKANA KAMA SOFT COPIES YAANI WAKATI WA KULIPIA KITABU HUSIKA UNATUMA PIA EMAIL ADDRESS NA KUTUMIWA...
0 Reactions
6 Replies
12K Views
U.S Grains Council watakuwa na mafunzo kwa watengenezaji wa chakula cha kuku kwa kutumia Soya , Mafunzo haya ni kwa wale wanaotengeneza vyakula vya kuku au wanaotarajia kutengeneza chakula cha...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Jamani wana Jamii, naombeni ushauri wenu kwa aliye na elimu ya biashara mtaji wa ml.14 unaweza kuanzishia biashara ya magauni ya harusi kuyatoa nchini China na kuleta hapa Tanzania?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Heshima kwenu wadau kijana wenu katika kuangalia fulsa nikapata wazo la kufuga mbuzi kwa sababu 1.eneo nililopo mbuzi wanapatikana kwa bei ya kawaida bei ambayo uyo mbuzi ukimpeleka umbali wa...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
SUPER GRO ********************* Super gro ni bidhaa ya mimea. kazi zake: -inatunza unyevunyevu -inaimarisha mmea -inaongeza mavuno yani uzito,wingi na ukubwa -haibagui mmea -inafanya kazi...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
WanaJF, Kutokana na hali halisi ya biashara nchini Tanzania kuwa tete, nimefikiria na kuamua kuwekeza kwenye sekta ya Kilimo cha Nafaka na Mafuta. Tayari nimepata sehemu za kuanzia kama Kilosa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa yeyote ambaye ambae amenunua trekta(massey )au anafahamu taratibu za kuingiza Tanzania anishirikishe..Nimejipanga kununua trekta uingereza--nataka kupanua kilimo changu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawaza kuanzisha bar sio kubwa sana wala ndogo sana ya kati ila abc za kuanzia sizijui, naomba mwenye uzoefu anijuze
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jaman me nataka kusajili kampuni ya general suppliers Nahitaji msaada vitu vya kufuata wana Jf
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wanajamvi nataka kuandka Enterpreneurship plan kuhusu kilimo cha alizeti msaada kwa anaejua format yake anielekeze
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wana jf, Kwa wale wanaohitaji nguruwe wa mbegu na nyama: 1.nna nguruwe zaidi ya 10 wanaofaa kuchinjwa kwa kitoweo 2.nnao madume wa miezi 7-8 ambao wanafaa kwa mbegu au nyama 2.wapo pia majike...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wapendwa. Kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu hili, Nina vimizigo (parcels/boxes) ambavyo nataka kuvituma from DAR to Nairobi Kenya. Njia ipi ya utumaji ni cheaper? na gharama zao zikoje...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wapendwa naomba kujua kutoka kwa wale watalaamu wa uchimbaji wa visima vya maji. Ni mashine ya aina gani yenye uwezo wa kudumu katika mazingira tuliyopo I mean Tanzania? Ninahitaji yenye uwezo wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…