Wakuu ninauza Kiwanja chenye ukubwa wa heka moja kwa sh. mil 3.8 tu. Kiko Kongowe mwisho Mbagala Km 3 kutoka Barabara ya lami na gari linafika mpaka kwenye kiwanja. Tafadhali mwenye kuhitaji ani PM.
Imani yangu itaniponya..huku kwetu kuna opportunity ya kufungua duka classic la nguo za watoto.i have already study about market saturation.nahitaji msaada kuhusu suppliers wa hizo nguo na...
Wapendwa wanajamvi mimi pamoja na kwamba natafuta soko la sabuni ya kunawia mikono(liquid hand washing soap) naomba kutoa ushauri kuwa kwakuwa members wa JF tuko wengi basi tusaidiane kwa sisi...
habarini wana JF, nimeamua kuanzisha hii thread maalum ili tuweze kupeana INFORMATION za mikoa mbali mbali kwani wana JF wanatoka mikoa tofauti. Mfano nataka kujua aina gani za biashara ni nzuri...
Habarini wana jamvi wote , Mimi nafikiria kuanzisha biashara ya kutengeneza na kuuza mabonge ya barafu. Naomba kufahamishwa wapi nitapata ice cubing machine na kwa bei gani, au pia kama...
Wakuu kulingana na serikali ya Tanzania kutokuwajali wafanyakazi wake nimeamua niache kazi nifanye biashara, sasa nina kiasi tajwa hapo juu nianze na biashara gani nzuri ushauri wako plzz.
Wakuu, nauza majaketi na makoti mazito kwa ajili ya kutumika sehemu zenye baridi kali kwa bei ya kuanzia sh. 20,000/= hadi elfu 70 kwa wale wanaotaraji kwenda sehemu za baridi ama wale waishio...
Wapendwa katika bwana, mimi natarajia kujikomboa kiuchumi kwa kujikita katika ufugaji wa kuku wa kienyeji chotara baada ya kupata mafunzo wengi kutoka kwa wataalam mbalimbali kutoka kwa kubota...
Habari wanajamii wenzangu,
Samahani kwa usumbufu ntakaouleta ila muda mwingi nawaza biashara gani ya kufanya na bado naona kichwa kinantesa na nimeona bora niombe msaada wa kujuzwa kuhusu kufuga...
Wakuu naomba mwenye taarifa sahihi juu ya mambo kadha tusaidiane hapa.Naomba anaejua yafuatayo atusaidie.
1.Wilaya inayoongoza kwa kulima Nyanya na bei ya nyanya kwa tenga kwenye eneo la...
Wadau habari!nimekuja tena jamvini hapa kuomba ushauri wenu juu ya kujikwamua kiuchumi!nina kimtaji cha shilingi million mbili,bado sijapata wazo la uhakika ni kitu gani hasa nifanye ili niweze...
vipi wa kuu,nawazo na ndoto ya siku nyingi,nataka kufungua vedio studio,iwe in deal na production za video za movie sana sana na documetary, je ni vifaa gani muhimi naitajika kuwa navyo na kama...
Mimi natengeneza batik nzuri za kuvutia kama vikoi vitambaa vya batik kwa ajili ya kushona vyenye maua na picha mbali mbali.Napokea oda kwa matukio yenye kuhitaji sare za batik kama batik zenye...
Sorry wapendwa, mi sio mtaalam sana wa mambo ya ujasiliamali ila nlikuwa naomba mniambie ujasiliamali unafaida gani na unawezaje kuwa mjasiliamali?????
wakuu mi npo dar maeneo ya
mbezi beach,nna hela ya ziada
mil 10 nmeona niangalie fursa
tofauti tofauti,nimeona biashara
ya bajaji ndo rahisi kwani
haitaharibu mda wa chuo
masomoni.wakuu hi...
Ndugu mjasiriamali, nategemea kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa na ningeomba wale wote wenye uzoefu waniambie vitu vya lazima vya kuwa navyo au maandalizi:
Natarajia kufugia maeneo ya Dar...
Kama kuna mtu anajua mahali ambapo naweza kupata excavator ya msaada lakini ni kalipia gharama ndogo. Naomba msaada maana bei za laki 8 kwa siku sitaweza. Nataka kuchimba bwawa la samaki maeneo ya...