Jamani nataka kujumua mawig ya wananawake China na kuyauza tanzania kuna mtu aliwahi niambia yanalipa japo saizi ni mda umepita na kibaya aliyenipa hiyo biashara nilipoteza mawasiliano nae, wakati...
wana jf naomba kujua mahali ninaweza kupata mkopo wa kilimo, nina hekari 50 zina hati ya miaka 30 na ziko eneo la wilaya ya kasulu mkoa wa kigoma,je ninaweza kupata mkopo wa kilimo? vikiwamo...
Habari jamvi la JF,Leo ninapenda kuwaletea habari njema juu ya project ya Maji Block.Maji BLOCK ni mpango wa kitanzania wa kukuza matumizi ya kuvuna maji ya mvua na kuhifadhi katika matanki ya...
Kwa Wale Wanaojaribu kutumia Bidhaa Za Nje Kama Mimi, Watakubali Hili
Chukua COCACOLA YETU NA ILE Ya MALAWI
Au Tumia CHUMVI YETU na Ile Ya KENYA
Ukiona Haitoshi
Tafuta Dawa Ya Mswaki Ya...
NJIA ZA KUWAANDAA WATOTO WAKO KUJA KUWA WAJASIRIMALI,
Wana janvi ni ukweli usiopingika kwamba, SUCCESSIFUL ISGENERTIC, na Njia za kuanza Ujasirimali mara nyingi huanzia mbali sana,
Na kwa sisi...
Amani iwe nanyi wapendwa,kume kuwa na kasumba ya wafanyabiashara wengi kuhusisha biashara zao na imani za kichawi ikiaminika watapata wateja wengi au kuzuia biashara zao zisipigwe ndumba.Binafsi...
unaitajika mtaji kuanzai m5 na kuendelea kwaajili ya kufany kazi ya kujenga ma calvat chini ya kampuni ya nicode enterprises company LTD,kutakuwa na cotract kati yako na company,term ni...
Hi Bandugu,
kutokana na hali ilivyo ya ajira kutoeleweka najaribu kufikiria cha kufanya kujikimu kimaisha sipati jibu, eti kwa mfano una shilingi milioni moja hapo unaweza anzia biashara gani?
Kampuni ya Juwawa Tanzania Company inayojihusisha na shughuli za kilimo na ufugaji inatafuta wataalamu wa ubunifu wa kutengeneza logo itakayokuwa inatumiwa katika shughuli mbalimbali.
NAFASI iko...
Wanajamvi nataka nianzishe kampuni ya kusaidia wanasiasa (politics lab)..kazi yake itakua ni kutrain,kupromote vipaji vya wanasiasa ambao wanaonekana wana uwezo tofauti na ilivyo sasa wapo...