Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Sisi ni wafanya biashara ya mazao, tunanunua mazao kwa wakulima kule ulanga,tunalipa ushuru wa mazao wa tsh 2500/= kwa gunia hii ni kwa wilaya ya Ulanga. Tuikifika hapa ifakara, baada ya kukoboa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanabidii!Kuna vitu viwili muhimu kutengenezea sabuni za unga: 1.CDE 2.OPTICAL -BY-TINA Vinapatikanaje?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakubwa Zangu Shikamooni, Wadogo zangu Marahaba, Nahitaji Msaada kidogo wa kibiashara, Nataka kufungua Stationery, Je ni Kiasi yaan minimum Ambayo nayoweza nikaanza nayo kufungulia Biashara...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wajasiriamali,waandishi MIRADI YA BIASHARA / TAFITI wanakaribisha wanajamii forum. Ni kikundi kilichojiajiri kwa kuandika miradi na tafiti kwa Vikundi, Binafsi, Makampuni na Mashirika ya Umma au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wandugu hivi bajaji huwa inalipa sh ngapi kwa siku, dereva nae analipwaje? toyo je , inalipa sh ngapi na dereva nae analipwaje? bodaboda je? sio mbaya kwa wenye uzoefu mkituambia huwa zinanunuliwa...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Heshima wakuu Naomba mwenye uelewa kuhusu masuala ya ujasiriamali mana nasikia kila siku vijana tuwe wajasiriamali lakini sijapata elimu kuhusu ujasiriamali kwahiyo mwenye uelewa hata kwa maana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauliza kiwanda gani hununua makopo ya maji na juice yaliyotumika kwa wingi? Huuzwa kiasi gani kwa kilo? Mnunuzi anapatikana wapi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Samahan wajumbe ila nlikua naulizia bei ya Bajaj aina ya 4 stroke?iwe used na katika hali nzur na je biashara ya Bajaj inalpa au?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rafiki Yangu Wa Karibu Aliyepo Nje Ya Mipaka Ya Tanzania Anaulizia Kama Kuna Black Market Ya Uranium.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello wana JF ambao mpo huko nje bei ya sangara wenye label ya Eco kwenye supermakert za huko mnanunua shilingi ngapi? Bidhaa ya namna hiyo yenye nembo ninayozungumzia inatoka Tanzania tu hakuna...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau ninauza set ya vifaa vya mazoezi vya body building ambavyo ni locally made ila ni vya chuma,,vifaa hivyo ni BARBELL yenye plate 6 (each plate ina uzito wa kilo 1O),DUMBELLS-set moja za kilo...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
A Canadian company from Toronto is looking for : Cloves, Cardamon and Black Pepper from Zanzibar and from Mainland. If you have contacts for these products, please, let them know. Their email...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamvi,nina mpango wa kusajili kampuni ya money transfer itayodili na mpesa na mitandao mingine,shida yangu ni kwamba sina mtaji wa kuanzia,je,nikienda benki naweza kupata bila shida kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau nimeanzisha kampuni yangu mpya inashughulika na consolidation and deconsolidation(import and export), parcaging, warehousing, door to door delivery na other logistics zinazo husiana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I hope all is well wanajamvi! Ninajishughulisha na masuala ya ujenzi (construction), mimi na wenzangu (baadhi ya kampuni za construction za wazawa) tuna mpango wa kuunganisha nguvu na kuanzisha...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Hi Due to the challenges facing our Nation, we as Engineers have decided to give what we learn in school back to our fellow Tanzanians by providing them with fast and reliable services in...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hope mko pouwa wana jf. Mimi nina kama 2million na ninataka kufanya biashara lakini sijui nataka exactly biashara ipi. Help me with the business idea.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana bodi habari, Mkuu Mlachake alianzisha uzi siku chache huko nyuma na kuwataja baadhi yetu kuwa tuunganishe nguvu ili tutoke na kitu. Wazo lako halikuokotwa na kunguru bali tulilichukua na...
9 Reactions
28 Replies
4K Views
habari wanaJF, kwa siku nyingi sasa,nimekuwa nikiwaza kuhusu export business,hasa kwa kutumia usafiri wa ndege,,target countries zangu zikiwa Scandinavian countries,ujerumani,uingereza na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi guys. Naombeni ushauri kuhusu tractors. Tractor aina gani linafaa kulima in most areas in Tanzania? Wapi ninaweza kununu used one? Bei ziko vipi? Naweza kuagiza toka europe/wapi? Asanteni sana.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…