Hbr pple,
Naulizia msimu wa kuvuna alizeti Singida ni kipindi gani na bei hua kiasi gani na kwa kipimo kipi tafadhali....Kwa mwana Jf anaeishi Singida plz anitafute kwa msaada zaid.
Mimi ni mtaalam wa fani inayoitwa Communication Arts. Nimehitimu chuo kikuu nchini Marekani. Ni bingwa katika kila kazi ninayoifanya.
Baada ya kufanya kazi hapa Dar miaka kadhaa, nimeona kwamba...
Nina wazo la kuanzisha NGO ya mazingira.
Nataka ifanye kazi wilaya moja, baadae mkoa mzima.
Vipi taratibu ni zipi?
Unaandikishaje kwa serikali ili kupata kibali?
Natafuta mwenye utaalamu wa kuandika documents za kufungua kampuni. Nina wazo la kufanya biashara ndogo tu kwa kuanzia ila baadae naamini itachanganya na kuwa kubwa so nahitaji niwe na kampuni...
Habari zenu wakuu, naomba mwenye ufaham fasaha juu ya ubadilishaji wa fedha za kigeni na yetu, nasikiaga watu wanafanya bishara yakubadilisha fedha kila kukicha mjini, je ni nani ambaye anajua...
heshima mbele wakuu.ninaomba kujua ni njia gan yakuaminika ninayoweza kuagiza eletronics(simu,laptop n.k)kutoka nje ya nchi(u.s,india na japani)..msaada tafadhali..
Kwa wanaohitaji vitabu vya elimu ya Ujasiriamali na Mafanikio kwa ujumla kwa ajili ya kufundishia au biashara (jumla tu) kuna kitabu chenye kichwa MAFANIKIO YA KIFEDHA. Kitabu hiki tayari kiko...
Mimi ni mjasiriamali, naendesha biashara zangu ktk eneo la Kariakoo Dar es salaam. Katika biashara yangu nimejikita zaidi kwenye kuuza/supply bidhaa za Stationery na Printing. Nimejikita kwnye...
Hope wazima, mi naomba msaada jamani, ninapenda sana kuanza duka la nguo mkoani,nimefanya marketing survey nimeona mkoani patalipa kuliko hapa dar, sasa ninataka kupata usaidizi maana nataka niwe...
Wakuu habari yenu
Aisee katika pita pita yangu humu niliona kuna post nyingi kuhusu ufugaji wa kuku zikieleza jinsi ya kufuga kuku na maelekezo yake kwa kina
Ila leo nilikuwa nina swali kuwa...
Nataka kufanyanbishara ya MPESa, Tigo pesa, uuzaji wa vocha za Startimes, DSTV, Dawasco nk. Nimeambiwa rahisi kupata zote kupitia kampuni ya Selcom. Kwa wenye uzoefu utaratibu upoje na je, inalipaje?
Amani kwenu wadau!..natumai wote ni wazima na mnaendelea vyema na majukumu!
nahitaji msaada kwa yoyote anayefahamu zaidi juu ya T shirts, Caps, Mugs and wheel covers printing business anipe...
Katika Hekaheka Za Utafutaji Niko Nje Ya Nchi
Nimeajiriwa Na sasa Nina Laki 3 Tsh...Ila Nahitaji Kurudi Tz Ili Nijiajiri.
Kwa Uwezo Wangu Mdogo Wa Kufikiri,ninampango Wa
Kujumua Viatu Mbeya...
Mimi ni mama ambaye niliamua kuingia kwenye uwakala wa mpesa na tigo pesa.
Nilianza kulipia mpesa jamani ni siku chache tu nimepata line yao, hongera mpesa.
Kuja kwenye tigo pesa nimelipia zaidi...
My company has teamed up with a Chinese Company (Green Energy Company)
The long term plan it to produce bio fuel but currently we are looking at cultivating maize, sugarcane, rice, sorghum and...