Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari wanajukwaa. Katika miaka ya hivi karibuni nilianza kupanda miti ya mitiki (Grandit teaks) kwa fikra ya kuja kuuza mbao pekee, lakin kadri muda unavyokwenda nimejiona mwenye bahati baada ya...
12 Reactions
80 Replies
27K Views
Natarajia mko wazima wakuu, Niko na swali, je hii miti inayoitwa MITIKI ni aina gani na je inaitwa aje kwa ENGLISH LANGUAGE? nimetafuta kwa google sioni translation ya hii neno mitiki...
1 Reactions
9 Replies
7K Views
Nimekuwa nafuatilia threads zinazohusu kilimo na kuvutiwa na jinsi mnavyochangia-mfano Elnino na Malila na members wengine. naomba kuuliza kama nitaamua kulima MITIKI (teak wood). Sasa naomba...
5 Reactions
329 Replies
201K Views
Tumesikia mengi kuhusu kilimo cha mitiki kwamba kinalipa. Tafadhali mwenye ushuhuda na hii biashara atupe abcd .....ya namna gani biashara hii inafanyika baada ya kupanda mpaka miti inapokuwa...
1 Reactions
26 Replies
19K Views
Khabari zenu wakubwa. Kuna huyu jamaa wa kuitwa ALLY HAPI aliewahi kuwa mkuu wa wilaya Kinondoni, Aliwahi kuwa mkuu wa mkaa wa Iringa kama sikosei,ila kwasasa sio tena mwanasiasa ni baada ya mama...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Naomba msaada kwa wale wafugaj wa hawa kuku tanbro na kroiler Mwezi wa pili nilianza ufugaji huu kwa kununua kroiler 40 kwa tanbro 30 vifaranga wa wiki sasa changamoto ni mafua makali vifaranga...
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Habari zenu wana jamvi. Mimi ni mtafiti katika chuo cha kilimo. Ninaomba msaada kwa suala lifuatalo; Kwa mkulima yeyote wa zao la choroko au kunde ambazo zimebunguliwa (kutobolewa) zikiwa pamoja...
0 Reactions
2 Replies
697 Views
Ntakati hizi bila kuwekeza kwenye nalisho ni hasara, Kwa wafugaji wa Ng'ombe, Mbuzi, Nguruwe, kondooo, farasi, na hata kuku, ni wakati wa kuotesha majani yako kama una shamba, nyakati hizi malisho...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari ya majukumu wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Maparachichi ni matunda bustanini na mashambani. Maparachichi yana matumizi mengi yenye faida kubwa kwa wakulima na...
22 Reactions
138 Replies
36K Views
Habari mimi ni mara ya kwanza kuanza kufuga kuna kuku wawili sehemu ya haja kubwa imetoka njee hili ni tatizo gani?
1 Reactions
3 Replies
470 Views
Kwa mujibu wa Mamlaka ya hali ya hewa na majira ya huku niliko, mvua za kupandia zinatarajia kuanza kunyesha wiki ya Tatu ya mwezi March ambayo ishafika mimi nimeshaandaa shamba na nimeshapiga...
0 Reactions
4 Replies
688 Views
Bei ya miti hasa ya"Pine" imeporomoka mno mashambani, ingawa bei za mbao mijini hazijashuka. Huwezi amini ekari moja ya miti (Iliyostawi vizuri) ya miaka 10 ni kati ya mil.1.2 hadi 1.5. Siku za...
13 Reactions
45 Replies
9K Views
Mwaka huu kuna possibility tena ikawa kama mwaka jana mvua kidogo, na Dalili zimeishaanza kuonekana. TMA wanasema mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara itapata mvua chini ya wastani, hii ni...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani nani kalima yeye kama yeye na kuvuma pilipili kichaa atupe ushuhuda wa faida na changamoto za kilimo husika. Asante
3 Reactions
22 Replies
4K Views
I have the Best Pepper seeds(AFRICAN BIRD EYE CHILLI), I am selling at Tsh 100,000/= per 100 Grams. They are enough for one acre. Consultation is Free. I am at Tegeta, Dar es Salaam. WhatsApp...
1 Reactions
0 Replies
288 Views
Ndugu wanajf na wafugaji wa kuku, hivi vifaranga vinatakiwa viwekewe chanzo cha joto hadi vifikishe umri upi?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau hivi grower ya Broiler inawafaa hata vifaranga wa Sasso?Msaada jamani mnitoe ushamba
1 Reactions
3 Replies
602 Views
Heshima kwenu wanabodi, kama heading inavyojieleza nina malengo ya kwenda kulima vitunguu Kilosa mwaka huu ila sina mwenyewe was kunipa ABC za huko kuhusu hichi kilimo, ikiwemo wakati sahihi was...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
WanaJF ninaomba mwenye uzoefu na chanjo ya Tatu moja inayotengenezwa hapa nchini anielimishe mambo yafuatayo! 1) Ubora na matokeo ya kutumia chanjo hiyo 2) Je ni kweli inazuia magonjwa lengwa...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Wana JF, Macho ya bata wangu yanatoa mapovu halafu yanakuwa Kama yanataka kuziba kabisa, huo ni ugonjwa gani? Unatibiwaje?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…