Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Bata wanakunya kinyesi cheupe (kawaida huwa wanatoaga kinyesi cheusi), hawana kabisa hamu ya kula, kunywa maji na wanaishiwa nguvu na kutembea goigoi. Please, nisaidieni ni ugonjwa gani na tiba...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda huu, naomba kama kuna mtu anajua dawa ya kuwapa kuku wenye mafua. Wanakohoa na kusinzia. Natamani kujua dawa yoyote,hata kama ni za miti. Ni kuku wa kienyeji. Natanguliza...
4 Reactions
45 Replies
32K Views
Wakuu naomba ushauri wenu. Nimekuwa nitembelea maduka mbali mbali katika nchi za Ulaya hasa UK na kukuta bidhaa kazaa za kutoka Uganda na Kenya lakini sijawahi kuona bidhaa zozote kutoka Tanzania...
8 Reactions
91 Replies
27K Views
Ijumaa Kareem! Matukio ya mauaji ya wamiliki na watoto kutoka kwa mbwa hawa yamekuwa mengi sana. Malalamiko nayo yamekuwa mengi sana kila kona ya dunia hii. Swali langu ni je, vinasaba vya mbwa...
1 Reactions
75 Replies
6K Views
Habari za leo wanajukwaa. Naomba kufahamu bei ya mashine ya kupiga mpunga na mahali zinapopatikana. Ukubwa wake na ufanyaji kazi wake. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Miembe yangu imeanza kutoa matunda. Matunda yanapokaribia kuiva yanaugua ugonjwa wa kupasuka. Naomba msaada wa kuzuia ugonjwa huu.
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nisaidie kufahamu vilipo vituo vya ukaguzi wa asali vifuatavyo: Nata, Mkweni, Kaniha na Kerezia. Natamani kufahamu wilaya na mji au kituo mashuhuri jirani na kituo husika.
1 Reactions
0 Replies
368 Views
Wasalamu ndugu zangu, km ambavyo kichwa cha uzi kinajieleza miaka ya nyuma kabisa nilikua mpenzi wa kufuatilia nyuzi mbalimbali zinahusu kilimo katika jukwaa hili. Nyuzi nyingi zimeandikwa katika...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajf ninaomba msaada kuhusu ugonjwa huu wa vifaranga vya kuku! Kwenye sehemu ya haja kubwa anatoa kinyesi laini mithili ya mapovu! Mwishowe mapovu hayo hukauka na kuwa magumu mwishowe vifaranga...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Kwa muda nimekuwa na hamu ya kuanzisha biashara ya Chakula cha mifugo, kwa ajili ya wafugaji. Lakini mbali na chakula nitauza vifaa vya ufugaji na nitakuwa wakala wa vifaranga...
0 Reactions
28 Replies
26K Views
Ikiwa Serikali imeongeza bajeti ya Kilimo ya mwaka 2022/23 kwa 317% huku ikilenga kupanua eneo la umwagiliaji hadi hekta Milioni 8.5 ifikapo 2030. awamu ya sita iko kazini kuiwezesha sekta ya...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Hivi karibuni serikali ilitangaza mkakati wa kuandaa mashamba na kuwapa vijana na kuwapa mafunzo ya kilimo kwa miezi minne kisha kuwapa maeneo ambayo tayar yameshaaandaliwa, cha ajabu jana waziri...
1 Reactions
8 Replies
858 Views
Juzi nilikuwa naelekea bunda kutokea Mwanza. Kuanzia Magu hadi bunda, mashamba ya mahindi yote yaliyo kando ya ziwa Victoria yamekauka kwa kukosa mvua, mengine yako chini ya mita 100 toka ziwani...
2 Reactions
7 Replies
509 Views
Kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi kumekuwa na mvua ambazo hazitoshelezi, imepelekea niwaze kuingia kwenye kilimo cha umwagiliaji wa pampu ya solar japo nimeshafanya huko nyuma kwa kutumia...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari wadau wa kilimo ufugaji na uvuvi Kama Kuna mdau anahitaji Miche ya strawberry tunayo ipo aina ya Chandler Tupo Arusha 0683505822
0 Reactions
3 Replies
430 Views
Habari wana JF!, Poleni na Hongereni katika harakati za kuzuia mikono isibanduke kwenye vinywa vyetu na wale tunaowapenda.. Ni kwa muda nilihitaji kuanza biashara,ya ufugaji wa kisasa wa kuku ila...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
Habari wana JF! Poleni na Hongereni katika harakati za kuzuia mikono isibanduke kwenye vinywa vyetu na wale tunaowapenda.. Ni kwa muda nilihitaji kuanza biashara, ya ufugaji wa kisasa wa kuku ila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo nimekaa na kutafakari sana kuhusiana na suala hili hasa ikichangiwa na baadhi ya video na clip nilizowahi kuona huko nyuma 1. Misri wameanzisha miradi ya kilimo cha umwagiliaji kwenye...
3 Reactions
9 Replies
623 Views
Angalia mbegu hapo na idadi kwa kila mbegu
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…