Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habarini wakuu, Ni mwanafunzi hapa mwaka wa kwanza nmepata bum, nmefkiria kufanya biashara lakini naona haitokua na usimamizi mzuri. Hivyo nmefkiria kununua n'gombe wa kienyeji. Nahitaji tips za...
0 Reactions
6 Replies
604 Views
Nahitaji mbegu za papai aina ya malkia F1. Aliyenazo tuwasiliane.
1 Reactions
9 Replies
693 Views
Habari ya leo Ninataka kutotolesha mayai ya bata wa kisasa kwenye Incubator iliyonunuliwa mwezi uliopita kutoka kampuni ya Kitanzania. Naomba kujua joto na unyevu kwa mayai ya bata ndani ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naombeni mwongozo: kwani ng'ombe anaficha maziwa? ni ng'ombe mwenye maziwa mengi tu lakini ana tabia ya "kubana" ukiwa unakamua. Sijuwi ni kwanini?! mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie jamani
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Serikali iliruhusu nchi za jirani kusomba vyakula toka moja kwa moja kwa wakulima na nchi kama Kenya wakawa wanasindika na kuuza nchi za vita kwa nembo yao kama vile Somalia na Sudan Kusini. Sasa...
0 Reactions
3 Replies
381 Views
Wakuu Nilikuwa nimehifadhi namba za mbolea ya ruzuku kwenye simu (smart phone) bahati mbaya simu imedumbukia kwenye maji na kioo kimekufa. Nimejaribu kutafuta kioo kipya lakn gharama zake ni...
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Hivi hii kitu imekaaje? Ninaona zipo viwanja wanafanya hii biashara lakini bado hawapo kisasa zaidi na bado hawaaminiki sababu ya wizi wa magari au vipuri vyake. Sehemu nyingi gharama ni 1000...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwa bei hii ya vyakula unga, Michele, maharage ni kwamba ruzuku haijafanya lolote kumnufaisha mtanzania mlipa kodi wa mbagala Dar es salaam. Wafanyabiashara wachache na wakenya ndio wanaofaidika...
0 Reactions
7 Replies
670 Views
Zamani ulikuwa huwezi taja kilimo bila kuitaja Kaskazini, mkoa kama Arusha na nazania Arusha ndio ilikuwa kituo cha kilimo Tanzania hii, Kaskazini hasa Arusha ndiko hata kulikuwa na Makao makuu ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu, Nimepitia nyuzi nyingi jukwaa hili kwenye upande wa ufugaji nimeona asilimia kubwa wamejikita kwenye ufugaji wa kuku,inaelekea inalipa hii! Anyway me nmekuja...
7 Reactions
94 Replies
28K Views
1. Tibetan Mastiff - $3,000–$5,000 2. Black Russian Terrier - $3,000–$5,000 3. Samoyed - $2,500–$5,000 4. French Bulldog - $2,500–$4,000 5. Löwchen - $2,500–$4,000 6. Cavalier King...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu, Nina kuku wa kienyeji hapa kwangu ambao nimewazuia wasizagae mtaani, sasa wiki hii kuku wote wakubwa wameanza kutaga na hapa sina jogoo hata mmoja. Je, niendelee kula haya mayai au...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Pumba za mpunga zile laini zinafaa kulishia kuku na bata?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Licha ya Nchi ya Tanzania kuwa katika ukanda wenye hali ya hewa inayoruhusu uwepo na ukuaji wa viumbe wengi wakiwemo wadudu na mimea bado uwekezaji kwenye kilimo cha ufugaji wa wadudu lishe...
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakulima na wafugaji Nafanya jaribio la kutengeza mbolea asili au mboji. Kwa kutumia majani niliyojaza apo kwenye karo Nitaweka Mbolea ya ng'ommbe au mbolea ya mbuzi /kuku/bguruwe/popo n.k...
0 Reactions
4 Replies
625 Views
Kama kichwa cha uzi kilivyo wapendwa. Nina nguruwe wangu 10 wanaota vidonda na wanajikuna. Je naweza kutumia dawa gani kutibu hili tatizo? mahali Nilipo hakuna mtaalam wa wanyama. Anayefahami...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa, Naomba msaada kwa aliyewahi kutumia mbegu za mahindi hizi zinazouzwa madukani na akapata matokoea mazuri kwa ardhi ya Morogoro hasa maeneo ya mashamba ya Ngerengere na Kiegeya...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Anaefaham hii kitu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
622 Views
Wakuu naombeni muongozo katika hili, nahitaji kujua jinsi ya kutengeneza chakula cha kuku wa nyama (broiler). Vyakula vya kuku wa nyama Vimepanda maradufu halafu soko la Kuku hilo pia...
1 Reactions
53 Replies
8K Views
Habarini wadau, Katika kujifunza kwa ukaribu,ufatiliaji wa kukuza na kuwalea samaki aina ya Sato ambao nimechimba kijibwawa ka 40 sqm kwenye mazingira ya nyumbani kwangu kama darasa ili huko...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…