Wakuu kwema?
Mwaka huu baada ya kuuza mazao yangu natarajia kununua tracta kwa baje isiyo zidi Ml35
Kwa mwenye uzoefu tracta lina lipa zaidi kulima shamba lako binafsi au kukodishwa na kulima...
Katika mizunguko yangu nimekutana na mti unaozaa matunda amabao ndani yake ni kama karanga, katika kudodosa mtandaoni nikagundua unaitwa PACHIRA AQUATICA. Mti huu hufahamika zaidi kama mti...
Kwa wale wabishi wenzangu wa kilimo cha kutegemea mvua,waliothubutu kuweka mbegu za mahindi tukutane hapa ili tupeane updates mbali mbali.
Mimi nilipanda tarehe za mwishoni mwa mwezi october na...
Kuna kuku waliatamia muda mrefu bila kutotoa. Nahisi hayakuwa na mbegu.
Baadae kumezuka utitiri mwingi mno kwenye mazingira yote ya ndani na nje ya banda. Nimepiga dawa kuua wadudu aina ya Rungu...
Wadau, msaada tafadhali,
Nilinunua Bata mzinga siku za nyuma. Kama wiki mbili zilizopita Bata jike alianza kutaga na kufikisha mayai 6. Baada ya muda nikakuta yamepungua 2.
Nikawa na wasiwasi...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naingia rasmi kwenye kilimo na nahitaji kulima kisasa sababu nyenzo ninazo.
Nahitaji huduma ya kupima soil pH kwa ajili ya kujua aina ya mazao ninayoweza...
Hapa tutajikita zaidi kwa Kuku na Kanga wa Kienyeji. Kwa maana hiyo ni vema tubadilishane maarifa kwa mambo yafuatayo
1. NAMNA BORA YA KUCHGUA MBEGU NZURI
2. NAMNA YA KUZALISHA CHAKULA MWENYEWE...
Habari wakuu,
Mimi ni mfugaji wa naombe nilipata changamoto wa ngombe wangu kufa kwa tatizo la kutokula na kutoa udenda pia anapepesuka akitembea. Baada ya kufa alipasuliwa tumbo na kukutwa na...
Habari wadau wa Jf,
Mhe. Diwani wa kata ya Kilomeni Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro ameagiza Miche 34,000 kutoka kituo cha utafiti wa Kilimo Lyamungo kwa lengo la kufufua Kilimo hicho...
Heshima kwenu ndugu Wafugaji na Wakulima.
Kama mjuavyo, shughuli za Kilimo na Ufugaji ndizo kazi zetu za Asili tulizorithishwa tangu zama za Adam na Eva.
Sasa wakuu nisiwachoshe, mwenzenu...
Napenda kujifunza kutoka kwa wanaofanya kilimo cha umwagiliaji. Kama kujua gharama za kukodi mshamba. Njia rahisi za kufanya umwagiliaji na vyote vinavyohusiana na kilimo.
Habari zenu wakuu,
Ndugu yenu nimekuja hapa nina jambo, wale wataalam wa bustani, wenye uzoefu ama ujuzi katika harakati hizi nahitaji mawili ma3.
Ndugu yenu nataka nianze kulima bustani...