Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Nimenunu tunda la apple la rangi ya nyekundu, ni siku ya tano sasa haliendelei kuiva wala kuharibika. Ni teknologia gani inatumika kufanya haya matunda kutoka kwa mzee madiba kuacha kuharibika...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Changamoto ya ufugaji wa kuku huja kwenye gharama za chakula. Kwa yeyote mwenye formula nzuri ya Chakula cha kuku chotara tupeane elimu zaidi kwaajili ya mafanikio zaidi. ASANTENI
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Si kila wakati kulaumu tu wakati mwingine kupongeza. Nimefanikiwa kupata mbolea kwa idadi ya heka nilizojiandikisha. Usumbufu mdogo ni foleni tu ambapo ilinichukuwa siku 3 tofauti kufanikiwa...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi ni mfugaji wa kuku hapo sina uzoefu sana ila katika zoezi hilo nimekutana na changamoto ya ugonjwa ambao nimeshndwa kuutambua, naombeni ufumbuzi wa hili tatizo wakuu.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Juzi nikasema nimpigie rafiki yangu mmoja ambaye sijazungumza naye kwa miezi kadhaa sasa. Mingoni mwa mazungumzo yetu ilikuwa kama ifuatavyo: Mimi: Mambo vipi kaka, habari za siku? Yeye: Salama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wataalamu naomba kuuliza.. Nina ekali 1 na nusu, iko tambalale kabisa, na kuna kisima cha kuchimba na mashine, kina maji mengi sana ya kutosha, na tanki lake lipo juu la lita elfu 10. Eneo hilo...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Wataalamu wa kilimo mnishauri,Nimelima nyanya Miche 5000 .Ina mwezi mmoja Toka nimeipanda mbegu nimetumia. Tomato mwanga. Kuna changamoto imejitokeza majani kubadilika rangi .ngoja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna raia humu niliona wanaulizia ulizia kilimo cha Dragon, fuatilia hii link kule facebook. Utajifunza kitu
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari napenda kufanya ufugaji wa bata ila nakwamisha na mazingira niliopo naomba ushauri au hata msaada ili niweze kuongeza kipato kupitia ufugaji huu ninaishi Mombasa nimepanga chumba...
1 Reactions
3 Replies
744 Views
Boga ni zao ambalo mmea wake unakuwa kwa kutambaa na ni la mviringo, ngozi yake ni nyororo na rangi yake ni ya njano inayoelekea kwenye rangi ya chungwa au rangi ya kijani. Katikati ya boga kuna...
6 Reactions
42 Replies
12K Views
Wadau na wataalamu nawasalimu kwa pamoja, Nina kashamba kangu mahali mkoa wa pwani Kama heka 20. Nafikiria huu msimu wa mvua nipeleke huko miti michache nikaoteshe kuzunguka eneo lote sasa mm...
3 Reactions
46 Replies
42K Views
Niulize chochote kuhusu zao la nyanya nitakujibu kama mkulima.
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari Wana JF, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nataka nilime kitunguu maji nikiwa serious. Wenye uzoefu na zao hili au mwenye ABC pia naomba anipe ushauri changamoto, cost na maeneo ambayo...
1 Reactions
2 Replies
592 Views
Naomba kujua ni mkoa gani naweza kununua ng'ombe wenye uzito kuanzia 100kg na kuendelea kwa bei nafuu. Thanks
2 Reactions
46 Replies
27K Views
Habari wana JF. Naomba mwenye uzoefu au utaalamu wa zao la korosho anisaidie kujua mahitaji ya kuanzisha kilimo hiki. Nataka nitafute shamba(virgin land) kwa kilimo hiki, napenda nijue maeneo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natamani ufunguliwe mjadala wa korosho, yajadiliwe yafatayo! Maandalizi ya shamba, mavuno na mauzo (soko). Kwa kuanzia najua kwamba haijawahi kutokea pasiwe na malalamiko yanayohusu zo la Korosho...
1 Reactions
2 Replies
982 Views
WanaJf, Nina wazo la kununua trekta ila changamoto niliyonayo ni gharama kubwa na kiwango cha fedha nilichonacho ni 15 million. Tusaidiane wadau wapi nitapata hata kwa mkopo wa kutanguliza...
4 Reactions
12 Replies
6K Views
Hàbar Wana JF, Kama kichwa Cha hàbar kinavyo jieleza hapo juu mim nikijanq mwenye umri wa miaka 27 Ila bado sijatoboa maisha haya Yani umri uwo lakin bado naishi kwa wazazi ya kila kitu...
10 Reactions
61 Replies
8K Views
Habari wapendwa, Mwenyewe utaalamu kidogo wa mahindi ya njano(sweet corn) Ningeomba kujua jinsi ya kulilima hapa Tanzania, na je linaweza kustawi Tanzania Asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau!Naomba nipate mawazo/ushauri/ujuzi juu ya kilimo cha Vanilla
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…