Mimi ni mkulima mdogo na ni mfugaji mdogo wa mifugo na nyuki.
Nimepata tetesi kuwabenki ya NMB imeanza mpango wa kutoa mkopo kwa wakulima.
Nomba utaratibu, maelekezo na ufafanuzi upo na...
Habar Wana Jf,
This year, tmeona mfumuko wa bei hasa kwenye mafuta,
Nazungumzia Cooking oil.
Siku zote nlikua nawaona WAKULIMA WA malighafi za uzalishaji mafuta ya kula wako nyuma sana, hasa...
Nataka nianze kufuga kuku hawa wa kisasa wa mwezi mmoja, soko nitalipata wapi niwe nauza kwa jumla. Nataka nianze na kuku 200 kwanza.
Kuna mtu aliniambia Shekilango, sasa anaejua utaratibu wa...
Habari wakuu, natarajia kila moja wenu ako salama. Nimekuja kwenu nikitaka msaada kaa zile kichwa kinajieleza, ningetaka kujua ni mikoa au wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi au ina ardhi ambayo...
WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Shamata Shame Khamis amesema utekelezaji mradi wa Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua...
POWERTILER ni aina ya trekta ya tairi mbili, kina uwezo wa kulima eneo kubwa kwa muda mfupi.
Ni kifaa cha kulimia kilirichorahisishwa zaidi kusaidia Mkulima wa chini na kati.
Ni kilimishi...
Habari wakuu,!
Nimeamua kuanza ufugaji wa kuku chotara,
Napenda kujuzwa zaidi ni mbegu ipi nzuri kati ya hizi
1:sasso
2: Kroiler
3:kuku wa Malawi
Katika vipengele hv
1:utagaji 2:ustahimilivu wa...
Vijana popote mulipo hebu tufike mahali tufikiri nje ya box. Tukikaa kulialia eti hakuna fursa wakati wageni wanakuja mpaka wanatucheka. Nilitembelewa miaka ya nyumba na jamaa yangu kutoka...
Wajasiriamali wenzangu ningependa kujua miti aina ya cyprus huchukua muda gani baada ya kupandwa mpaka kuvunwa? Na pia inahitaji mtaji kiasi gani kwa hekari moja? Na unapanda miti mingapi kwa heka?
Habari Wanajamvi,
Baada ya kujiunga JF si muda mrefu sana nimepata fursa nzuri ya kuweza kupitia threads mbalimbali hasa za ujasiriamali zilizonipa hamasa za kuchangamsha ubongo wangu kipi cha...
Hata kama wanachukua vya kule Mang'oea na kufanya repacking bado tu ni kwamba ni wana akili, mbona sisi tunashindwa kufanya hio packing? Wakenya wanauza vitu vingi sana kwetu na vingine huwa...
Wadau Nawasalimu.
Bila kuyatatua Matatizo yanayoikabili Sekta ya Kilimo kwa Miaka 60 iliyopita HAKUNA MAJABU tutakayofanya kwa KILIMO Chetu Tutakuwa TUNADANGANYANA.
KILIMO cha Tanzania bado ni...
Nilikutana nayo leo, nilienda kule kikazi ikabidi nizunguke kuangalia products mbali mbali.
Haya matunda unaweza vuna miaka 40
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Wakulima wengi mkoani Kilimanjaro kwa sasa wameanza kuangalia fursa mbalimbali katika sekta inayohusiana na kilimo cha mazao ya biashara pamoja na masoko yake.
Baadhi ya wakulima wachache mkoani...
Nimesoma sehemu kuwa mmea huo una protini nyingi kwa kulisha mifugo, hasa wanyama wanaocheua.
Sijaona sehemu wanapoelezakuhusu wanyama wengine.
Je, inafaa pia kwa kulisha nguruwe na akapanufaika...
Habari wakuu nahitaji kupata mkulima au supplier ambaye atakubali kuniuzia maparachichi mazuri na kwa bei isiyo nzuri.
Awe na vigezo vifuatavyo.
1. Uwezo wa kuuza parachichi kwa makubaliano ya bei...
PANDA MITI YA MBAO NA NGUZO UNUFAIKE BAADAE
Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la mahitaji ya mazao ya miti na...
Waungwana Habari!!
Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue
Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate...