Tujadili kuhusu kuku wa kienyeji
-Naanza kwa kuuliza hivi unamgunduaje jogoo angali kifaranga?
-Tunaambiwa mdondo hauna tiba, je inachukua muda gani kuku akishapatwa na ugonjwa huo?
WADAU napenda mwaka huu nianze kilimo cha Mpungu huku IFARAKA kwenye mwezi wa 12. Mnishauri ni Sh ngapi inahtajka kwa heka 20 na kila heka inaweza kunipa sh ngapi. Wenye uzoefu kama Masanja...
Habari wakuu. Ninaanza ufugaji wa nyuki kwa hiyo sina uzoefu. Kuna changamoto moja nimeisikia kwamba nyuki wana tabia ya juiacha mizinga na kuhamia sehemu nyingine. Kana hii ni kweli naomba kujua...
Habari wana jf, napenda kuwajuza kuhusu kilimo kilicho chukua chat sana na kukua kwa kasi kwa miaka ya karibuni kwa maeneo ya rungwe MBEYA.
Kilimo cha tangawizi kimesaidia sana kuboresha maisha...
Waungwana Habari!!
Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue
Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate...
Wafugaji wenzangu naombeni dawa,kuku wangu wamekua wanakohoa sana kama Harmonize ( khoo! Khooooh! Yaaaaw yaaaaaaw! Jeshiiiiiii ) na kusinzia sinzia kama mateja, naombeni dawa gani nitumie ili wapone
Black Soldier Fly au nzi chuma ni aina ya nzi ambao ni wa mwituni na hutumika sana kuzalisha larave au funza kwa ajili ya mifugo.
Commercial Production ya larave hawa inawezekana sana Tanzania...
Wakuu mimi kuku wangu wanakohoa na ukiwasikiliza ni kama wanakoroma umri ni wa Mbezi miwili na vifaranga wa week moja na siku 6.
Hii issue imedumu kiasi maana niliwapa Fluban siku 5 ikawa bado...
Kwa waliowahi kufuga nguruwe na ngombe kipi kinalipa?
Kwa mazingira niliyokuwepo ngombe ni biashara sana, yaani maziwa sipati hela ya maendeleo, lita tsh 700 kwa maeneo niliyokuwepo na kupata...
Nimepanda parachichi miaka kadhaa iliyopita huko kwetu Kusini, soko ikaporomoka parachichi zikaoza nikakosa pa kuzipeleka nikatamani nifuge Mbwa wanisaidie kula yanapoanguka lakini too late...
Habari zenu waheshimiwa, poleni sana na majukumu kidunia na kitaifa ndugu zangu mimi ni mjasiriamali mdogo hapa tanzania niko katika harakati za kujikwamua katika maisha hivyo nimeanzisha kamladi...
Salaaams wanajukwaa, poleni na majukumu.
Kama heading inavyojieleza, Nahitaji partner wakushirikiana nae kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama ( BROILER ). Mabanda ni makubwa na ya kisasa, yenye...
Nimesafiri Kanda ya kusini na Central Corridor nimejionea wale vipepeo weupe wa kutaga viwavi wengi mno hii inaashiria patakuwa na viwavi jeshi wengi hivyo wakulima tegemeeni kukutana na kadhia...
Habari wadau.
Mimi ni Mtanzania niliyebahatika kupata elimu katika nchi mbalimbali za Bara la Ulaya. Baada ya kumaliza elimu yangu nimerejea nchini kujenga taifa.
Kufuatia changamoto ya ajira...