Mimi ni mpenzi sana wa hivi viatu,brogues. Kwa mnaojua viatu, ninadhani mnajua heshima inayoletwa na viatu hivi. Pia ,ni timeless.
Lakini ,sijui inakuwaje? Kila nikinunua, nikivaa sijisikii...
Habari za mida hii wadau, natumaini tunaendelea vyema na mihangaiko ya kila siku.
Naomba kujua njia gani nzuri/ mafuta ya kufanya nywele ziwe na weusi mzuri bila kutumia material kama "super...
Huwa sipendi mwanamke wangu atumie cream ya aina yoyote au mafuta yatakayo mbadili rangi yake ya asili au kumfanya kuwa mweupe,, kuna mtu kamshauri kuwa top lemon ni nzuri,,
Naomba ushauri wako...
Habari zenu wana urembo,
Naomba msaada wa kupewa ushauri wa moisturizer gani nzuri kuupaka usoni kwa wale wenye combination skin or oily skin uso wangu una mafuta ambayo hayachemki bali...
Wanasifika kwa kuwa na Kipulilo aka Komwe. Nini Chanzo cha Tatizo hilo? Unakuta dada mzuri tu maskini sura huku chini inavutia ila ana Komwe. Na nywele zimeanzia karibu na kati kati ya kichwa...
Habari zenu watanashati nina shida leo Naomba msaada hivi mnawezaje kuchagua nguo kwenye mtumba tena zile grade nzuri kabisa mbona mimi nimeshindwa kila nikinunua nguo mtumbani nikifika nyumbani...
Habari wakuu,
Nimewakumbuka sana,
Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.
Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B...
Changamoto ya utafutaji wa mavazi kwa upande wa wanaume ni kubwa kwasababu wafanya biashara wengi wanalenga soko la watu wenye urefu wa juu wastani kwasababu hata sisi tulio na urefu wa chini...
Habari wadau,
Mimi ni kijana wa miaka 30. Nimezaliwa kijijini na kukulia huko. Mjini wa mara ya kwanza nilikuja kwaajili ya masomo.
Pamoja na kwamba kazi yangu inanilazimu kuvaa kistaarabu, bado...
Habari wakuu.
Ni maeneo gan mjini dar es salaam nitapata maduka ya nguo nzuri za kiume ukitoa kariakoo(pananichanganyaga nashindwa kupaelewa). Yaani jeans kali na tshart zenye quality nzuri kwa...
Heri ya sikukuu ya sabasaba.
Kwa masikitiko makubwa naomba niwakilishe malalamiko yangu kuhusu ndugu zangu na wananchi wenzangu. Wengi wenu hamuogi, hamfui nguo zenu na hampaki deodorant achilia...
Hey guys! I was wondering what you guys use for skincare. I'm pretty happy with mine right now (SpectroJel cleanser for blemish prone skin, EpiDuo some nights, La Roche Posay Toleriane Ultra...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
1. Ethiopia
2. Eritrea
3. Somalia
4. Rwanda.
5. Afrika kusini
6. Ivory coast
7. Nigeria
8. Kenya
9.Tanzania
10. Ghana.
RECIPE TO LOOK 10 YEARS YOUNGER!
If you think that you need to spend a fortune and a lot of time to refresh and revitalize your face, you are wrong.
You will need:
1. ½ a banana
2. 3 tablespoons...
Bustani za Mughal na Soko la Polo iliyoboreshwa.
Srinagar (Jammu na Kashmir)
SRINAGAR, Taji la thamani ya Kashmir,imekuwa ni nembo ya ishara ya ukaribisho kwa wajumbe kutoka nchi za G20...