Azama Media ni moja ya kituo kikubwa ambacho kimeleta mabadiliko makubwa katika tasnia yetu ya habari hapa nchini.
Wamekuwa wabunifu katika vipindi, ubora wa picha na mpangilio mzuri wa vipindi...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Hivi karibuni nategemea kuanza biashara ya kubandika kucha bandia na kupaka rangi kucha!
Kwa wale wenye uzoefu na kazi hii naomba msaada...
∆. DADA au KAKA yangu Ongezeko la fangasi za seemu za siri zimeshamiri sana katika kipindi hichi cha maisha ya utandawazi . Watuwengi wamekua na tabia ya kufua chupi boxa za ndani na kuanikwa...
Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar ameingia ibadani katika kanisa kuu la KKKT hapa Moshi akiwa amevaa Suruali iliyozua minong'ono kuwa ya KIHUNI.
Baadhi ya Waumini waliopo hapa Ibadani wamesikika wakiuliza...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari.
Wigi ama less wigi ni nywele inayotamba sana mjini pamoja na kuwa na aina nyingi za nywele lakini wigi imeteka wadada.
Kwanini wigi au less wig...
Kama unajiamini na umuogopi mtu tuma picha yako ukiwa umevaa pamba kali tukuone. kama unajiamini ila kama hujiamini pita mbali[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bila shaka wanaompambaga Mfalme Zumaridi Wana nafasi Yao Peponi!
Kwa kweli baada ya wiki tatu za kukaa jela, kumedhihirisha ubora wa Wapambaji wake!
Sisi waumini wake Tunajivunia Kazi yenu
Huko ni Ulaya, wanaume wachafu hivyo, je huku unadhani mashuka yao yatakuaje?
Nguo za ndani je? Jamani wanaume wenzangu tujitahidi usafi, uchafu sio uanaume.👇
Kuvaa vazi la kulalia hasa kwa mwanamke, umuwezesha mwanaume aliyenaye chumbani kutokumchoka.
Mwanamke anayevaa vazi la kulalia (night dress), humuongezea thamani katika mahusiano yake. Kuvaa...
Wengi wa wanaume siku hizi hupenda kunyoa kipara. Nimejiuliza sana lakini sipati jibu.
Mtu mzima na heshima zake hunyoa kipara labda anataka aonekane kijana, labda kichwa chote kimejaa mvi au...
Wadau hivi mliowahi kutumia hizi deodorant zenye viambata vilivyopigwa marufuku leo nimeisoma ya axe appolo nimeona, kiambata cha butylphenly methylpropional ambao wanasema inaenda kudhuru mfumo...
Binafsi nakerwa Sana nikiangalia wanawake hasa Azam TV kwenye kipindi Cha sinema zetu.
Wanawake wengi wameamua kuweka KOPE za bandia katika macho yao.
Nawakumbusha tu HAMPENDEZI NA NI ATHARI KWA...
Jamani najua mko poa!
Hivi siku hizi kila kaka huku mjini naona kabeba begi mgongoni, hayo mabebi ni makubwaa sana, na yamekaa kishamba shamba hivi. Mengi Yao yameandikwa Biowang mengine...
Habari ndugu nina miaka 35 lkn muonekano wangu naonekana kama mzee wa miaka 80 inasababishwa na nini? Au inaweza kua ugonjwa au VIP na nifanye nn niweze kuendana na umri wangu wakubwa zangu wote...
Wakubwa nlipitia sana life la Msuba na Chiga nyingi wakati nikiwa na saka life.
Sasa yale maisha nisha ya kacha ila kinacho ni boa lips zimeungua zimekuwa nyeus flan hivi kiasi kwamba kila mtu...
Mahitaji
-Sukari ya brown kikombe kimoja
-Kahawa ya brown nusu kikombe
-Mafuta ya mzeituni nusu kikombe
-Lemon essential oil kijiko kimoja Cha chai(1tsp)
Hapo kwenye kikombe waweza tumia...