Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Kumekuwa na tatizo kubwa la nguo feki kuingia katika soko letu la nguo nchini na tujuzane njia mbalimbali za kugundua nguo hizo kwa u rahisi iwe jeans,suruali za vitambaa n.k
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini nyote nawaletea salamu changamfu kabisa kutoka West Monroe, USA. Wanaume wengi tunakumbana na changamoto ya kutokewa vipele tunaponyoa ndevu na viarufu flani hivi. Kuna hizi bidhaa za...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Habarini wadau, Anaeijua hii bidhaa inapatikana wapi anijulishe nna shida nayo sana time will tell
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wakuu,binti yangu anataka kuwa mbunifu wa mavazi,elimu yake ni form six, je nimpeleke kozi gani itayomfaa??? Msaada tafadhali
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mimi ni mzuri wa sura tu jamani japo sio sana nataka niiweke sawa zaidi means ing ae mimi ni maji ya kunde sio mweupe sio mweusi lotion gani nitumie nipendeze zaidi. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zen wakuu...jamani eeh nipo kwenye baridi yaani hata upake mafuta ngoma inadunda..yaani napauka mpaka nahic ngozi inachanika...nimeambiwa nipake glycerine je hiyo kitu haina madhara...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Kwa wale Wajuzi wa mambo ya urembo naomba kujua kama hilo linawezekana kwani nina rafiki yangu Mdada, ni mrembo na ana chale mbili ndogo kwenye mashavu yake. Bado sijamuuliza kama zinamkera ila...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Kaa ukijua kuongeza kg ni rahisi sana kuliko kupunguza hahaha yaani kupunguza sio poa. Kupunguza kg 2 tu mziki wake sio wa kitoto... Jiwekee tabia ya kufanya mazoezi japo dk 30 kwa siku. Magonjwa...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Watu hawaendi kutembea kwa sababu ya Corona , ni kula tu kisha kutulia ndani, sasa unapodai nguo za Sikukuu ili iweje ? unataka uwende ukatemee wapi ? Wake zetu muda mwingine wanawaza wnayojua wao.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii nguo inafaida gani kwa wanawake skin Tait kwanini hasa ivaliwe mbona zamani walivaa underskirt kwanini wameacha underskirt wamerukia skin Tait hili swali linaniumiza sana.
1 Reactions
51 Replies
10K Views
Naomba kuuliza wadau, hivi Kuna uhusiano gani Kati ya rangi ya Ngozi ya binadam na rangi ya nywele zake,? Je kuna uhusiano wowote ule? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anaijua basi naomba anifahamishe
1 Reactions
37 Replies
22K Views
Irene Kiwia, Getting ready to launch 'Face of Tanzania' late 2007. Picture courtesy of IssaMichuzi blog.
0 Reactions
26 Replies
49K Views
Ni wapi naweza kupata spray ya aina hii Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wenzangu hua mnawaonaje wasichachana/wanawake walioshevu labda kiduku/kisahani/Afro halafu wakaweka bleach kichwani? Mimi nikiona mwanamke kaweka hivyo nina hakika huyo mtu hajitambui na hajakua...
12 Reactions
159 Replies
25K Views
Kuvaa pia nakupendeza ni vitu ambavyo ni tofauti ila ni lazima ujue kwanza physical body structure yako na ni aina gani ya nguo zinaendana na body yako. For Instance Sent using Jamii Forums...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari Waungwana!! natumai ni wazima na maisha yanaendelea licha ya changamoto za hapa na pale tunazokumbana nazo katika Jamii.... Kuna muda nafikiria Je tujikite kwenye Kujenga Afya au tuendelee...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari zenu......nina nywele fupi na nimekua nikitumia dawa ya weave na mafuta ya gel kwa mda sasa ila naona bado nywele haijakua vile navyotaka....... kwa hiyo naomba mnipe maujanja ya dawa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni kwamba nina imani kwamba watu wengi wanaifaham Baking soda vizuri na nimekuta huku huku JF wakielezea matumizi ya baking Soda inavyosatumika kama vile kusafishia masinki ya vyoo, na pia...
3 Reactions
37 Replies
21K Views
Kuna mdau amenipa hii list nichague moja tu ili aniletee. Sasa sijui ipi ni.nzuri kushinda nyingine naombeni msaada wenu, ipi nichague ambayo ni nzuri miongoni mwa hizi Invictus Creed aventus...
2 Reactions
59 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…