Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Utafiti mpya uliofanywa na chuo cha Aston mjini Birmingham, Uingereza umegundua kuwa katika bidhaa 9 kati ya 10 za urembo (Makeup) ambazo zimekwisha kutumika zina bakteria hatari. Utafiti huo...
0 Reactions
3 Replies
37K Views
Habari za mida hii? Mimi sio mshabiki wa timu yoyote na wala sijui kuhusu maswala ya soka.Nimewahi kuwa na rafiki wa ki Portugal. Aliniambia nimtajie wachezaji soka 5 wa nchi yake na kila...
2 Reactions
21 Replies
8K Views
Hivi suti nini? Kwa sababu mtu akivaa suruali ya kitambaa na shati bila lile koti anaoneka hajavaa suti ila akivaa Koti pamoja na suruali ya kitambaa na sauti ndo anaonekana kavaa,je suti nilile...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau mimi ni mshkaji fulani wa kibongo mweusi. Sio black. Ni mweusi, kama hujui tofauti mwangalie aliyekuwa Rais wa USA Barack Obama ile rangi yake. Walimwita Black. So naposema mimi mweusi...
5 Reactions
34 Replies
21K Views
Wadau, Kuna hili jambo nimeliona siku hizi kwa rika flani la wanaume unakuta mtu akitembea makalio yanacheza utafikiri ya mwanamke.Unakuta kijana kachomekea vizuri shati lake sasa ngoja aanze...
11 Reactions
106 Replies
18K Views
Hasa kwa kina dada, nani aliye waloga kwamba kucha ndefu ni urembo? Pia makucha ya bandia ndio kabisa ni uchafu. Wapo watakao pinga wanaume kwa wanawake. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Mko poa? Wakuu kwanini wanaume tulilikimbia hili vazi [emoji16] Unakumbuka usumbufu au changamoto yoyote ya hili vazi? Pia, kinadada underwear (anda) mlikimbia nini hapa, kwanini msilivae...
2 Reactions
36 Replies
10K Views
Ni sahihi Kwa mwanaume kuacha nywele za kifuani mpaka tumboni Me naomba msaada kama kuna dawa niyaondoe napata wakat mgumu sana Ahsante nisaidieni
3 Reactions
56 Replies
16K Views
Nimepata mchumba, kwa kweli ananipenda sana na hanisumbui hata kidogo. Malalamiko yake ni kuwa siko nadhifu. Nimejaribu kununua nguo mpya, boxer, soksi, viatu na mikanda. Nanyoa ndevu na nywele...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Shindano la Miss World 2019 limefanyika kwa mara ya 69 hapo jana tarehe 14 Desemba katika Ukumbi wa ExCeL London Jijini London, Uingereza ambapo mrembo Toni-Ann Singh wa Jamaica ametwaa taji...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Utakuta mtu anajitolea hewa chafu ndani mwake tena mara nyingi tu na hata hachukizwi na harufu yake lakini kosa afanye mtu mwingine atachukia kweli. Utakuta mtu anajichezea tu kikwapa chake na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Je, kuna tofauti ipi kati ya Kung'aa na Kujichubua? Mimi ni maji ya kunde, sipendi kuwa mweupe lakini napenda kuwa na ngozi nzuri. Nimeelekezwa kununua mafuta ya Queen Elisabeth kwamba nitang'aa...
1 Reactions
19 Replies
10K Views
Sisemi sana ila nataka tu utambue wewe si mwanamke Sisemi sana ila nataka tu uelewe huna sifa za kuwa mwanamke Sisemi sana nataka tu ufahamu kuwa katika list ya wanawake (haupo) ILA HIII NI ...
9 Reactions
50 Replies
14K Views
Wapendwa ndugu zanguni hasa wadada.. Kama kuna kitu au vitu vilikuwa vinakutatiza kuhusiana na swala zima la urembo wa salon, basi chukua nafasi hii kuniuliza swali lolote lile linalohusiana na...
19 Reactions
375 Replies
224K Views
Wapendwa Leo nimeingia hili jukwaa Huwa napenda kuuliza jambo kabla sijafanya utekelezaji Waswahili walisema kuuliza si ujinga mimi hizi sabuni niliona zikipigiwa promo na jamaa mmoja wanasema...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Gauni la sikukuu
11 Reactions
23 Replies
6K Views
Wakuu habari! Naomba kuulza hiv ni aina gani ya scrub ya asili ambayo ni nzur zaidi kwa afya ya ngozi..
2 Reactions
8 Replies
7K Views
Siku hizi mambo yamebadilika manjano yamekuwa ni kiungo muhimu katika ngozi, wakati hapo awali manjono yalikuwa yanatumika katika kupikia, lakini kwa sasa katika urembo bila manjano urembo wako...
3 Reactions
11 Replies
21K Views
Eti binti kwasababu amempa Yesu maisha (ameokoka) basi ndo haelewekiiiiii,[emoji134].. Uso alishaacha kupaka hata kapoda tu! Wanja ndo kabisa hagusi eti una mapepo, tehe;[emoji16] Ukimkuta mdomo...
13 Reactions
45 Replies
8K Views
Miss Universe 2018 Catriona Gray kutoka Ufilipino akimvalisha taji mshindi mpya kutoka South Africa katika mashindano yaliyofanyika Desemba 8, 2019 Atlanta Marekani ndani ya Studio za Tyler Perry...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…