Mko poa au VP? Napenda kuelimisha jamii yakitanzania kuhusu ili jambo vijana wengi wamepotea in the name of fashion without knowing it's origin. Nguo za kubana hasa kwa wanaume niutanblisho wa...
Habarini wadau,
Kama inavyojieleza hapo juu, natafuta hiyo kitu (virgin hair fertilizer) mwenye kujua zinapatikana wapi tafadhali anijuze.
Natanguliza shukrani
Wakuu Habari zenu... Niko zanzibar.. Naomba Kujuzwa wap Wanafanya Masaji.. Au mweny Namba ya mtu a naye Fanya private Masaji anitumie inbox... Na bei zao zikoje?
Niko serious wakuu kazi nazofanya...
Naomba msaada,
Mimi sio mtumiaji wa vipodozi vikali lakini yamenikuta haya baada ya kushare lotion ya ndugu yangu tukiwa safarini.
Bahati mbaya nilisahau kupack mafuta wakati nasafiri sasa...
Wana Bodi Amani ya Bwana iwe Nanyi.
Nataka ni badilike kimuonekano wa kimavazi, niko Arusha ni wapi naweza kupata makoti mazuri ya Suti ya bei nzuri
kuvalia na kofia aina ya Spire mara...
hakika tatizo hili,limekuwa km ni kawaida kwa vijana wadogo,kutokwa na viparavmiaka ya karibu,tofauti na zamani ambapo MTU akiwa na kipara h uwa na umri Wa 50s,anayefahamu Dawa jamani,hebu njooni...
WW I ilipoanza mfalme Leopard alichukua vijana wa ki-Congo wenye nguvu na kuwapeleka Ubelgiji kuipigania nchi mama.
Vita ilipokwisha walilipwa Franc 300 kila mmoja na kuambiwa wako huru kufanya...
Kuna uhuru wa kuvaa unachotaka lakini hiki la kuvaa sandals wakati muguu imepasuka tena mipasuko ya kuchana shuka nalo ni neno.
Kupasuka kwa miguu si uginjwa bali ni kutokuijali ngozi ya miguu...
Habarini wana JF
Naombeni mnijuze ni mafuta yapi mazuri kwa mwanaume mwenye nywele fupi tu za wastani. Yapi yanapendezesha nywele na kuzifanya ziwe nadhifu na za kuvutia?
Nawasalimu kwa mara nyingine tena wana JamiiForums,
Mimi ni kijana wa miaka 20 lakini mpaka sasa nimepata ndevu za kawaida (kidevuni) lakini mimi napenda sana Mustachi (za mashavuni) maarufu kama...
Habari za asubuhi wakuu kma title inavyosema je kuna yeyote kwenye jukwaa hili anafaham wapi naweza kupata hiyo sabuni ya sea of spa kwa hapa dar anisadie kunijuza maana ndio pekee ilinisaidia...
Habari zenu wapendwa na ombeni kujuzwa hichi kitu lakini na tumaini majimbu mengi yata toka sana upande wa ke..naomben kujua kazi ya cream mbalimbali zinazo patikana maduka ya vipodozi..na kwann...
Habari za leo
Tuende moja kwa moja kwenye hii mada fupi
Sipendi kuona wanawake wenzangu wakijichubua (japo na wanaume wengi nao wanashika kasi)
Ila siwez kulaumu hata siku moja kwanini...
Wakat flan nawaza nasema labda ndo uzee nao unakuja kwa speed ya 4G. Maana kuna vitu mi vilinishinda toka niko mdogo.
Nmekutana na jamaa mmoja kavaa nguo zake ni nzuri tu zingeweza mpendeza. Ila...
Wakuu.
Sio kila aina ya nguo inamfaa kila mtu, kuna mawazi ya yanawafaa watu wenye maumbile flani na mengine hayawafai watu wenye maumbile flani.
Wanaume warefu kaptula hazitufai, hizi zinawafaa...
kama kichwa cha mada kinavyojieleza je ni kipi hasa humpendezesha mtu?
je? uzuri upo kwa mtu? nikiwa na maana kuna watu wazuri zaidi ya wengine? kama ndivyo ni kwanini kuna dhana ya mtu kupendeza...
Kuongezeka kwa wanaume wanaofanya scrub, mask, wanaoweka wave ni kihashiria tosha sasa wanawake wamepata washindani.
Sijambo lakushangaza kumkuta mtoto wa kiume, mwanaume amevaa jeans iliyobana...
Habari za jioni wapendwa..
Jamani wadada humu hakuna linaloshindikana naimani ..shida yangu kubwa nataka mshono amaizing ambao utanitoa chicha wa usiku nahitaji na ushauri wa aina ya material ya...
Kuna maswali mengine huonekana ni ya kijinga lakini yana maana.
Kwa wadau ambao mmeoa na nyumba unayoishi sio master bedroom, nyumba nzima mnatumia choo kimoja hivi boxer zenu huwa mnaanika...