Hali zenu.
Jukwaa hili katika thread hii ntakua napost urembo wa asili ambao natumia na naendelea kutumia na pia ukanisaidia,hope pia na nyinyi utawasaidia,na ningeomba mirejesho ili nijue...
Jana nimemuona kijana mmoja ninayemuheshimu akiwa amevaa suruali iliyochanika chanika kwenye magoti nikasikitika sana.
Nikajikuta najisemea kuwa huyu naye kafirisika kimtazamo?
Sasa nimejua ni...
Habari zenu wakuu
Moja kwa moja niende kwenye mada maana kichwa cha habari kina swali nililo kusudia kuuliza
Katika maisha yangu toka Nime balehe na kuota ndevu nimekua sina raha katika maisha...
Habari zenu wana janvi?.
Hivi Mwnaume uson usipokuwa na ndevu au sharubu walau kidogo unajichkuliaje.!!?.
Binafs nilishajarib mara kadhaa bila ya ndevu lakin nilijiona tofaut mno.
Nahsi mtoto wa...
Wanaume wanalalamika sana kuhusu jinsi wanawake tunavyopaka makeups zetu. Na hizi colour combo ndio kabisaaa...Maybe huwa tunafanya makosa bila kujua. Jaribu kuzingatia yafatayo ukiwa unajiandaa...
Mambozi dears, for the first time nataka nijaribu lace wig lakini naona mostly zimesukwa mbili kichwa au kubana kidoti, ina maana ukiliachia tu bila kubana au kusuka halipendezi?
Mwenye picha ya...
Sabuni ya maji
Shampoo hutumika vizuri kama sabuni ya mikono, na ni rahisi kuliko sabuni ya kununua.
Tia robo shampoo kwenye kifungashio changanya na maji, tikisa ichanganyike vizuri.
Shaving...
Wakuu habari.
Mimi ni mpeni wa vazi la suti mara moja moja kwa mwezi au event sio mbaya.
Sasa kuna huu muundo wa suti naona kama umenivutia.
Naomba kwa anaejua naweza kuzipata wapi kwa hapa Dar...
Leo wadau napenda kushare ni jinsi gani utaweza kutambua km pefrume au bidhaa yoyote inayohusu utunzaji wa afya ya mwili km vile lotion,perfume,lipstip kwa wadada na bidhaa zingine km hizo zinazo...
Habari wanaJF,
Fursa kwa wale wenzangu na mie wenye nywele za dread locks, jamani ni dili sikuhizi zinauzwa mie nimesikia tu lakini. Nataka kuuza zangu nikipata mtu wa kufikia dau zuri...
Huyu ni yule mpenzi wako ambae kila ukiongea nae unamuona kabisa ni yule wa kwashida na raha. Leo amekutaarifu kuwa anakukaribisha chakula kwao.
Umetoa ile nguo ya mwisho kabatini ile uliyolipa...
Habarini wapenda mitupio..
Ni ukweli kuwa mavazi yapo ya aina na namna mbalimbali kulinganga na mahali panapositiriwa.
1.Kuna Juu zaidi (hapa ni kofia,mizula n.k)
2.Kuna katikati., (Hapa ndipo...
India wanaamini Henna aloipaka bi harusi ikichelewa kutoka huashiria ndoa ya furaha na kupendwa na in-laws, na ikiwahi kutoka maana yake ndoa haitakua na furaha. Ukaona sababu ya kuikoleza henna...
Katika kukutana na kuongea kwangu na baadhi ya wadada, iwe hapa bongo na hata ughaibuni, nimeshasikia wakisema kuwa wao wanapendelea zaidi marashi [pafyumu, deodorant, na body sprays] ya kiume kwa...
Habarini wana Jamvi ...!
Binafsi kwa sasa naishi mkoa wa Morogoro baada ya kuhamishiwa kikazi mkoa huu, nikitokea DSM..
Nimekuwa napata shida na maji ya chunvi ya mkoa huu, kiasi cha kuniondolea...
Wanaume wengi Mara nyingi huwa hawajali sana suala la kuhakikisha kile anavaa kinaendana. Unakuta mtu ananunua shati, tshit au suruali bila kuplan ataimatch na nini mwisho wa siku wengi...