Viatu ni kinga kwa ajili ya kuhifadhi miguu. Vile vile viatu ni vazi ambalo linaongeza urembo na nakshi kwa mvaaji. Viatu vipo vya aina mbalimbali na vinavaliwa kulingana na mahali na mavazi...
Nimekua nikipata shida sana kupata nguo nzuri za kiume madukani, kwani miaka ya hivi karibuni nguo nyingi zilizopo madukani zinazosemekanana ni za kiume zina muonekano wa nguo za kike.
Kwa mfano...
Habari wana JF.
Naomba msaada wapi au kiwanda kipi naweza enda wakanisaidia kunitengenezea sabuni na lotion za alovera.
Nahitaji sabuni na lotion zenye kiwango kikubwa cha alovera not less than...
Wengi wetu huwa tunaishi na wazazi na ukitoka kwa wazazi unakwenda boarding school baada ya hapo chuo na kuanza kazi. Hakuna formula moja ya maisha, kwa sababu hii na ile inabidi uishi na ndugu...
Naomba msaada kwa aliyewahi kutumia haya mafuta, mimi ni mweusi tii, na ngozi yangu ni kavu nimejaribu kutumia aina mbalimbali ya mafuta lakini yamekua yakinikataa. Kuna mtu kanishauri nitumie...
TRUE STORY
Leo niwape tu story yangu long time kabla sijaoa. Kipindi naishi kisela Ghetoni pale sinza mapambano. Rafiki angu kipenzi nadhani mnamkumbuka yule aliekua amepatwa na maswaibu ya...
Habarini wakuu sijui ndio hili jukwaa husika ama laa nyway moja kwa moja husika na heading yangu kiukweli dawa za nywele za sikuizi hazina ubora kabisa naomba mamlaka husika ijaribu kuzichunguza...
Hivi inakuaje mpaka binti wa miaka ishirini kisa ndoa/au umezaa watoto wawili watatu unakuwa kama bibi wa miaka hamsini ndio majukumu au nini hii.
Maana kuna binti hapa mtaani kwetu alikuwa...
Kwa wasichana ambao wanaona kuwa maisha hayawezi kuwa matamu bila kunenepesha makalio, mapaja na matiti yao, ni busara kufanya hivyo kwa njia za asili zisizokuwa na madhara kwa afya zao. Sehemu...
1. Kama hutumii mafuta ya hiyo splash then kabla hujajipulizia kwenye hayo maeneo paka vaseline oil then spray
2. Spray after bath and before dressing
3. Ukishapulizia usiifute let it sink...
Aisee huwa sipendi kukaa kwenye daladala na mdada au mmama akiwa mabega wazi. Unakuta anakugusa kwenye bega au shati huku anatoka jasho kwapani kama chemchem. Badilikeni
Jamani leo nimeona leo niliongelee hili kuna baadhi ya wadada tunatiana aibu unakutana na mdada shughurini /njiani tena mchana amejipodoa kama kinyago amepaka poda sio ya rangi yake mwenyewe...
Calisah....anadai hakuna shida kama amelamba mkwanja mkubwa yeye hizi maviatu anavaa tu. Na kama nawe wataka kutangaza bidhaa za hivo weka mkwanja mezani biashara itakwenda bila shida yoyote. Haya...
Kuna aina nyingi za mapambo yanayotumika katika kupendezesha nyumba zetu. Aina mojawapo ni maua halisi (natural flowers) ambayo huleta muonekano mzuri, uhai na harufu ya kuvutia.
Ili kuweza...