Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Nimekuwa natatizwa sana na nyaraka za serikali kuhusiana na mavazi, hususani Waraka wa Utumishi Na. 1 wa mwaka 1971 unaohusu mavazi ambao ulitokana na mwongozo uliotolewa na Chama cha TANU kuhusu...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Kabla hujaanza kujihusisha na mambo ya makeup ni vitu vingi sana unakuwa hujui na nadhani kuwa bado wapo wale wasiojua utaratibu wa makeup vizuri, kama vile makeup products au makeup tools..na...
2 Reactions
10 Replies
18K Views
Jamani katika vitu vinavyonikela sana ni jinsi ya kutoa nywele za makwapani yaani ni shiidaaa kuna kitu kingine nje ya mkasi ama wembe kuondoa nywele za makwapani? kutumia wembe ni hatari...
1 Reactions
33 Replies
10K Views
Loweka miguu inayopasuka kwenye maji ya uvuguvugu na yaliyoongezewa sabuni Kisha loweka miguu kwa muda wa dakika 10 hadi 15 hivi kwenye mchanganyiko wa asali kikombe kimoja ndani ya galoni moja...
1 Reactions
3 Replies
9K Views
Ndani ya nyumba kuna meza za aina nyingi kama vile meza ya kahawa, meza ya kwenye korido, meza ndogo za pembeni mwa makochi na pembeni mwa kitanda bila kusahau meza ya kuvalia na pia wapo baadhi...
4 Reactions
27 Replies
19K Views
Habari za majukumu wana jf. Kama title inavojieleza, naombeni ushauri wenu kuhusu rangi nzuri za kupaka milango na madirisha ya nyumba. Natanguliza shukrani kwenu.
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Mambo vipi wadau, Huwa napenda sana muonekano wa mtu alie na dreads, imefikia hatua nashawishika na mimi kuweka dreads kichwani. Ila napenda kufahamu mtazamo wa watu kuhusu dreads kwa wanaume...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau nisaidieni namna rahisi na salama ya kutoa madoa kwenye nguo nyeupe na za rangi.
0 Reactions
10 Replies
14K Views
Hivi unajua kuwa unaweza kuwa mrembo kwa kutumia vitu vya asili tu?. Ndio inawezekana!. Wengi wetu tumekariri kwamba, ili uwe mrembo na mwenye muonekano wa kuvutia machoni pa watu, basi ni lazima...
1 Reactions
7 Replies
11K Views
Habari zenu ndugu zangu, Nina nywele za asili yaani natural hair sasa niliweka bleach yaani imefanya nywele kukatika na kuwa dhaifu. Naombeni mnishauri nipake nini niondoe kabisa bleach.
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Tunapozungumzia mitindo na utanashati, tunalenga mtu binafsi pamoja na mazingira yanayomzunguka, kuanzia mavazi yake, mwonekano, miondoko, mazingira ya nyumba au makazi, yanayopaswa kuwa katika...
9 Reactions
33 Replies
24K Views
Habari zenu , Mim naomba kujuzwa jinsi gani wanavyopaka "makeup" hawa warembo wetu wa Tz, na ni vitu gan haswa unatakiwa uwe navyo mf.foundation na vingine ambavyo mnajua wataalam wa sekta ya...
1 Reactions
57 Replies
35K Views
Sweeties, nataka kuweka curl kwenye nywele zangu nina nywele ndefu zenye dawa ila mbele na nyuma zimekatika sana na sasa hivi zimeotea balaa, so nina mpango wa kuzipunguza ziwe saizi ya kitana...
0 Reactions
10 Replies
24K Views
Urembo na Mapambo Bangili, hereni na mikufu unayoitumia mara kwa mara vinafaa vitundikwe kwenye stand maalumu mahali panapofikika kiurahisi mfano juu ya dressing table ili iwe rahisi kuvichukua...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Wadau na Wajuzi wa fasheni mavazi gani stahiki kwa wanamume wafuatao kulingana na hali zao( kwa mfano aina mavazi na ranging zake n.k) a) Mtu mwanamume mrefu mweupe b) Mtu mwanamume mrefu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Watu wengi hupenda sana nywele zao ziwe katika muonekano mzuri na zenye afya tele,katika hali ya kutafuta mafuta ya kuweza kuziboresha zaidi watu wengi hujikuta wakitumia gharama nyingi katika...
4 Reactions
15 Replies
60K Views
Bila shaka kabati la vyombo ndio fenicha kubwa zaidi kwenye chumba chako cha chakula ikifuatiwa na meza, kwa maana hiyo linachukua nafasi kubwa zaidi ya muonekano wa chumba hicho. Kwa kawaida...
6 Reactions
7 Replies
31K Views
Habari zenu, Naomba niseme na mabinti wenzangu hata pia baadhi ya wamama wamejisahau. Hivi unawezaje kutoa mguu kwenu(kwako) ukiwa mikono mikaaaaavu? Binti unatoka huna khanga/mtandio khaaaa...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu
1 Reactions
46 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…