Wakuu habari zenu,
Bila kuchelewa mwenzenu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hili, ngozi yangu ina mafuta mpaka inanikera, nikitembea juani kidogo tu uso wote unajaa mafuta, chunusi ndio za kugusa...
Jamani nifanye mazoezi gani nipate hii thigh gap....naitamani kweli
Mazoezi ambayo sitapunguza wala kuongeza anything kune my body except kupata tu hiyo sexy thigh gap[emoji7][emoji7][emoji7]
Habari zenu warembo na watanashati,
Nilikua naomba kujua jinsi ya kutumia hivi vitu vitatu je, body splash, body spray na perfume vinatumikaje kila kimoja.
Naomba kujuzwa namna sahihi i hope na...
Enyi wanaume acheni uchafu, jitahidi angalau mfue boxer zenu kila Siku, nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu.
Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi boxer zenu na...
Habari wana jf.niliwahi andika napenda kuwa model asanteni wote kwa ushauri mlionipa kwa sasa ndoto zangu zimeanza kutimia asante kwa wote mlionipa ushauri na kama MTU yyte atapenda kufanya kazi...
nimeshikwa na viarara usoni paka kwenye kifua sivipendi msahada kwa sabuni au mafuta ya kuviondoa kabixa vimekuwa kero kwangu sana tafadhali naombeni mnisaidi
Nauliza hivi wadau kwani ni lazima kwa video queen au model kuvaa nusu uchi?
Hawa watu wanaleta vichocheo vya ngono na ubakaji inabidi serikali iwatazame kwa jicho la 3 wanaharibu utamaduni wa...
Watu wengi tumekuwa tukitumia vipodozi kama losheni, mafuta, sabuni, poda, krimu na pafyumu kila siku kwa malengo ya kupendeza na kuvutia. Pia tunatumia ili kuondokana na matatizo kama vile...
Moja ya hasara ya mwanamke aliye hodari na kazi za nyumbani ni viganja vya mikono kuwa vigumu au vikavu.Kama unafua na maji na sabuni,kuosha vyombo,kusafisha nyumba,kubadili watoto nepi au...
Habari zenu wana JF
Naomba mnisaidie ni powder gani inafaa kwa Uso wenye ngozi ya kawaida kwani nilikuwa napaka nikipaka powder napata rashes .
Powder nilizopaka ni:
=Ponds
=Royal
=Mac
=Family...
Ni nani huwadanganya enyi wanawake yakwamba eti kujichubua ndio unakuawa mrembo na mwenye mvuto?
Kiukweli ewe unayechubua ukikutana na mwalimu wa sanaa yaani nipishe na upite mbali kabisa...