Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Nataka niagize mafuta haya ya Ngozi kutoka UK kwa ajili ya biashara , je ni mazuri?
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Wadau, Natafuta darasa la mitindo (fashion design) na hair styles and design la muda mfupi kama mwezi au miezi mitatu. Mwenye kujua naomba anipe direction na contact zao kama pia anazo darasa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
walianza dada zetu kufanya operation za makalio, ikiaminika uzuri sio sura uzuri makalio. sasa na akinababa limehamia kwetu tumeona nondo kunyanyua zimekua nzito bora operation ya vifua Bandia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naskiliza EA Radio muda huu. Zembwela na wenzake studio wanajadili kushamiri kwa mahusiano holela miongoni mwa vijana, pia wanazungumzia tabia ya vijana kupenda kulelewa na majimama. Mgeni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Miaka ya tisini hadi 2000 mwanzoni mashindano ya miss Bantu yalishika kazi sana, lakini 'sasa naona hakuna kabisa shindano hilo sijui wadau wamepotelea wapi. Nilikua naenjoy sana kuona...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, sivuti sigara, bangi lakini lips zangu zimekua black zinanikera sana. Msaada please!
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari zenu, Nimejaribu kufanya utafiti kidogo nikagundua asilimia kubwa ya wanaume wanaovaa SAA za mkononi huwa hazisomi majira. Sasa hii inaumuhimu gani wa kuvaa kitu ukaonekana mtanashati...
4 Reactions
59 Replies
7K Views
Habarin Wakuu Nahitaji msaada kwa yeyote alioko mwanza Mm ni mgeni kwenye maswala ya kuchora tattoo naomba msaada kwa yeyote anaye fahamu wanapo chorea Anipe ramani nataka kuchora jina la mwanangu
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Hakuna boxer zinazohifadhi uchafu kama za mpira yaanI huwa zina uvundo saana ni bora mtu ununue cotton kuliko hizo otherwise utaishia kunuka. Wakina dada muwe makini mtalamba uchafu mpaka mpate...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Kila siku mamilioni ya wanawake hujipaka lipstick bila kufikiria hata kidogo – wanachojali wao ni muonekano na urembo wao. Kikubwa wasichofahamu ni kwamba baadhi ya lipsticks zimegunduliwa kuwa...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Habari wana jf, Mimi ni binti wa miaka 23. Napenda kuwa model na vigezo ninavyo. Mwenye kujua au anaeweza nisaidia ili niwe model please aje pm [emoji120] [emoji120]. Asante.
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Nashindwa kuelewa either ni kutaka kuonekana wazuri mbele ya jamii au nini. Wakati kwenye maisha halisi ni tofauti kabisa. Yaani imefikia point watu hawajikubali jinsi walivyo mpaka wajichubue...
2 Reactions
28 Replies
7K Views
Naomba kujuzwa perfume hio inayoweza kukaa katika nguo hata miezi au mwaka haitoki mm ni mvivu kununua mara kwa mara perfume ambayo ukipakaa anaisikia wa pembeni tu
2 Reactions
72 Replies
13K Views
Heri ya mwaka mpya 2017. Nimekuwa najiuliza sana kwanini wanaume wengi hupenda kunyoa ndevu zote kidevuni? Binafsi nilipokuwa mdogo nilisubiri muda mrefu ili niote ndevu,na mara baada ya...
4 Reactions
59 Replies
10K Views
Habari zenu JF MEMBERS, Mimi ni kijana wa kiume niliye na mwili wa kawaida sana! Sasa nimepanga kuingia gym ili nipate kuwa na reasonable body structure, kupunguza mafuta mwilini na kujenga afya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana JF, Napenda sana kuwa model, najua humu kuna watu mbali mbali wanaweza nisaidia ili kutimiza ndoto yang ya kuwa model. Tafadhali kwa yyte yule mwenye uhitaji wa model either mwenye...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wanajamvi hususani kona hii ya urembo, mitindo na utanashati, Msaada jamani uso wangu unajaa sana mafuta. Mfano naweza nisipake chochote kile ila dk 2 tu unajaa mafuta tena kama jua...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…