Mtu Makini Kwenye Mahali Makini. Nipo mda mrefu Sana na ninafurahia kuwa humu ndani nanyi nyote. Mbarikiwe Sana na Mungu Baba na Mwana na Roho Mtakatifu. Amina
Heshima zenu wakubwa zangu, mie ni mgeni katika jukwaa hili, naomba mnipokee katika kujuzana na kuelimishana katika mambo yanayotutokea sisi wenyewe na ulimwengu kiujumla.