Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodi wenyeji, Naomba ruhusa yenu na hekima zenu katika family hii ya JF, Naomba mnipokee. Mimi ni mwanamke,nitachangia hoja zote bila ubaguzi wowote. Wasalaam. Ndimi, Samrati.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
haya hodi hodi waungwana mnipokee
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Takribani mwaka mmoja na nusu nikiifurahia Jamii Forums bila 'ruhusa'.Leo nimekata shauri na kujiunga nanyi rasmi.Nategemea kupata mafunzo,changamoto na uzoefu mpya kutoka kwenu.Wakubwa kwa...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Nina furaha kuwa member wa jamii forum...naombeni ushirikiano wenu plz
0 Reactions
6 Replies
941 Views
Jamani mimi ni mgeni humu nahitaji ushirikiano wenu.
0 Reactions
6 Replies
908 Views
Poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo, Mie ni mgeni hapa ndani baada ya miaka kama mitano hivi nimerudi ila ID mpya! Naomba kujuzwa taratibu za humu ndani kwa kipindi hiki wapendwa.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Vipi wakuu, Mie mgeni, naomba mnipokee. Ahsante.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naimbeni mnipokee wenyeji
0 Reactions
5 Replies
916 Views
Habar zenu wanajamvi. Nimekuwa nikilifuatilia sana jamvi hili kwa muda. Na nilikuwa nikitaman sana kuwa nanyi. Nashkur leo nimefanikiwa naomben mnipokee. Asanten
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza nimefanikiwa kuuingia humu na nilikuwa na hamu sana ya kuungana walionitangulia hivyo naombeni mapokezi yenu wakuu. Nawasilisha.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Uuh ndo nimejinga Leo humu don't know how things goes kuweka profile pic hivyo cjui
0 Reactions
6 Replies
957 Views
Kijana wenu nawasili humu kwa mara ya kwanza naombeni mapokezi yenu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hodi wenyeji,me n mgeni mwenyeji npo humu tangu jana nilisahau kupiga hodi.Naomba mnipokee
1 Reactions
28 Replies
2K Views
mnisaidie mm mgen
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nafuraha ya kuwa memba wa jf tafadhali nipokee ndugu yenu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni kijana wenu ambae baada ya kuisoma, Kuifatilia na kuielewa JF hatimae naomba ruhusa yenu wakuu kunikaribisha na kua mmoja wenu. NB: Jina langu limetokana na kumkubali na kumwelewa sana msanii...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu hodi hapa kwa Great Thinkers.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni utaratibu mzuri kupiga hodi kwanza, naomba kukaribishwa wanajukwaa
0 Reactions
4 Replies
944 Views
Mm ni mgeni wakuu naomba mnikalibishe humu jamvini na mm nipate kuchangia mada
0 Reactions
4 Replies
742 Views
hodi hodi hodi humu...........!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…