Hatimaye nimefanikiwa kujiunga na JF baada ya kujaribu mara nyingi na kufail,nina iman wanajf mtanipokea kwa furaha member mwenzenu kwan JF ni kisima cha maarifa na busara,ahsante na Jioni njema.
Salaam Great thinkers, Mimi ni mgeni humu ndani,naomba mnipokee,nimekuwa nikiingia Kama mgeni kwa muda mrefu lakini nimeona sio mbaya nami nikijiunga, na JF, naomba kuwasilisha.
Hoooooodi!mnikaribishe mie mgeni jamani.
Afu uzuri wa ugeni ni kuwa unapewa vitu vizuri vizuri, chakula kizuri sehemu ya kulala nzuri na maongezi mazuri mazuri.
Hapo juu ni jina langu halisi,
Wapendawa wenzangu, mimi ni mgeni katika page hii, ila napenda kuwa pamoja nanyi kawakuwa nimependezwa na habari zinazopatika kwenye mtandao huu, pamoja na lunga...