habari zenyuuuu,bandugu
kwa utafiti mdogo nilioufanya watz wengi WANALAUMU bila kuonyesha njia hususan politician,
hii haitusaidii ndugu zangu tupige kazi na kuboresha ufanisi maeneo ya kazi...
Aisee Natafuta mtaalamu wa kumix equalizer ya mashine ya mziki. Yaani mtu wa kuupangalia mziki ukapiga vzuri haswaa. Mashne ni KARMA, Ipo kama PIONEER. Nitafute 0718651174 mbezi dsm. Highly needed...
every day watu tumesahau kwamba "UWONGO HUPANDA LIFT while UKWELI HUPANDA NGAZI kuelekea juu ya ghorofa" uongo umeshafika lets tusubiri ukweli then tupime which is more correct
ACHA NIWE WA...
Nimeamua kuwa mwanachama (sio wa chama cha siasa) bali wa JF ,ili tushilikiane kujadili mambo Mbali Mbali yanayoletwa humu ndani,hivyo naomba kupokewa kwa mikono miwili.
nimekuwa naperuz kama guest 4 2 yrs now, hope ntajifunza mengi now na kuweza kuona hata pale nlipokuwa nazuiwa kufanya kama guest pamoja na kuchangia mada moto moto za humu ndan.
Mambo vp Wadau tuko pamoja ndani ya jamvi tusiogope tukumbushane tu kuwa njia ya wote ni moja..Amani kwa Waliotangulia,Maandalizi kwa tuliobakia..Narudia usihanye,hakuna pa kukimbilia kama sio...
Naomba mnipokee rasmi leo wana jamvi,nimekuwa msomaji wa muda mrefu na sasa nimeamua kuchonga mzinga.Naamini mtaniongoza vema katika michakato mbalimbali hapa JF
naona suala la kapuya linachukua sura ya mob justice, tumemtuhumu, tumemshitaki, tumetoa hukumu, that is not fair, hatuna tofauti na wale wanaopiga mawe wahalifu, badala ya kuwapeleka mahali...