Baada ya kuwa guest kweny JF kwa miezi kadhaa,sasa nimekubaliwa kuwa member.Tafadhali msikose kunielekeza pale ninapokosea maana binti wa Pwani hakosi shanga kiunoni.
hey wadau mko pouwaa? new member in the house of great thinkers! naipenda jf xanaaa na matarajio yangu ni kuwa gold member wa jf,kiukwel inasaidia kupata info za fasta na za uhakika though c zote...
Wadau kuna mtu aweza kutusaidiakwa nini huyu mama kivea anakuwa na roho ya kuwazungusha wastaafu mpaka shirika linaingia hasara ya kuwapa wazee nauli na nauli yenyewe ni kwa shinikizo la bosimmoja...
Nimekua nasikia JF kila kona Leo nimeona bora nisiishie kusikia Bali nijionee mwenyewe. Na nilichokikuta no tofauti Na nilichosikia, nine habarika, nimecheka na kuburudika zaidi
ni zaidi ya mwaka na nusu sijaingia humu ndani! I'm back miss u! Wapya na wazamani wote me ndo nakaa jamvini hvo! Sogeeni nami nijinafasi pamoja nanyi!
Ndugu wana jf,
ninaomba kujiunga nanyi kwa mara ya kwanza kama mwanachama wa jf ili kwa pamoja tujadili,tujifunze,tuelimike na tufurahi.
Naomba mnipokee bila kinyongo, na mnipe kampani bila...
Kamwe jasili haachi asili asilani.
Na moshi huwezi kuuzuia kusambaa kwa kuufunika na shuka.
Mpiga kelele hanyamazishwi kwa kufungwa mdomo.
Nyani ni yule yule wazamani ndani ya msitu mpyaa...
Naaam wana Baraza khabari zenu?//// ni mtu wenu wa siku dahali,, sasa nikaona kwa uhadidi nami niwe Rasmiii,nyie watu ni so specially ,Hekaya ama uzi zangu zital\kuwa paleee kwenye lugha(...