Ndugu waheshimiwa saana wana jamiiforums, salaamu.
Napenda kuwajuza kuwa kuanzia sasa mimi ni `member' (mwanajamii) mwenzenu.
Naomba `kampani' ushirikiano wenu. Asanteni sana.
Wadau mimi ni mtumiaji wa mda mrefu wa Jamii forum ila nilisahau kidogo namba za siri za kuingilia na nimejaribu all means nikajichanganya nikaenda kurequest for new password bila kujua email...
Hodi wanajamvi,
Nimekuwa nikiangalia jamii forums kama guest lakini nilikuwa sina uwezo wa kupost na kucomment.
Nimejiunga kwa hiyo ninauwezo sasa wa kupost na kuchangia mada.
Naombeni mnipokee.
Haya-haya-haya wanawane naimani hamujambo woteee wana wa ''Great Thinkers''....
Ninawakubali saaana wanawanee na ndo maana nimejimuvuzisha kutoka kwenye Fesibuki 1kwa1 nimehamia huku kwa wenye...
Hellow..
Nimekuja jamiiforum kuwashika wote..
Wazo la leo
Maisha ni kama gwaride, wakisema Nyuma geuka wa mwisho anakuwa wa kwanza..
So uliye bosi leo usijione umefika, wakisema nyuma...
Hello!
Naitwa Fredrick SEBA, Nakaa Banana Ukonga, Najishughulisha na Ufugaji wa kuku wa Kienyeji, pure na Machotara, kuku wa malawi, nk
Pia nauza mayai, vifaranga na kuku wakubwa wa kienyeji kwa...