Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Naombeni ushirikiano wenu,,natoka Arusha
1 Reactions
6 Replies
662 Views
Hodi wana jamvi, kutoka Zanzibar.
0 Reactions
4 Replies
676 Views
Habari zenu
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Hellow Marafiki naitwa Daniel John, ninafuraha kujiunga hapa, naandika hadithi mbali mbali nimeanza na kuposti hadithi ya .. Kwanini Mimi nategemea sapoti kubwa toka kwenu. asanteni kwa ushirikiano.
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Helo nyie watu nipeni utaratibu wenu humu ndani kabla mbs zangu hazijaisha
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Mimi ni mgeni naomba mnipokeee
0 Reactions
7 Replies
990 Views
Wakubwa kwa wadogo nimekuwa mfatiriaji wa mijadala ya humu ndan toka nijiunge bila kuposte chochote basi tukiwa tunaendelea na AFCON 2019 huku kesho tukijua tunafungwa naomba nipige hodi kwa...
2 Reactions
2 Replies
655 Views
Habar zenu ndugu Mimi Ni mwanafamirya mpya Wa jamii forums naomba ushirikiano wenu kwa chochote
3 Reactions
92 Replies
5K Views
Habari wakuu.. Lagrangian ndugu yenu... naliisikia ikitamba sana....ikitisha kama nyambizi kwa kuchana mawimbi kwa kasi, upepo wake ukanivutia..yalinibidi nijisogeze jirani nijione utamu wake...
0 Reactions
4 Replies
976 Views
  • Closed
Mode please do the needful, huu uzi umetimiza wajibu wake, nimeishampata. P
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi mgeni humu wadau tushirikiane
0 Reactions
28 Replies
2K Views
mimi mgeni na jf ila naipenda
1 Reactions
5 Replies
603 Views
cna kipya ndo kwanza nmeingia humu
1 Reactions
6 Replies
928 Views
mko poa marafiki wa JamiiForums? nimejiunga leo nikaribisheni.
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Ni mara yangu ya kwanza kujiunga na JF wala sina wasi wasi yoyote najua wanajukwaa ni watu wastaarabu na wakarimu hivyo mtanionyesha ushirikiano wa hali na mali. Sina mengi ya kusema ila naamini...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni mgeni ndani ya jf naomba kujumuika katika kujifunza na kuchangia nanyi kwenye mambo mbalimbali ambayo hufanyika humu na pia kupata marafiki...na shukuru Kwa kunipokea
3 Reactions
60 Replies
4K Views
Mimi ni mgeni hapa naombe ushirikiano wenu wa dhati ndugu zangu japo nilifungua accnt hapa kitambo kidogo nimebahtika kuitumia iv karbuni naombeni ushirikiano wenu Kikubwa zaidi nilikuwa naomba...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wapenzi nawasalimia! mambo zenu!
6 Reactions
88 Replies
7K Views
Mimi Salma Jumanne naomba kujiunga na JF kwa ajili ya kuelimika na kujifunza.
2 Reactions
61 Replies
5K Views
Habari, mwanachama mpya naomba mnipokee.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…