Yaani nime miss JF Ville naona mambo giladi mdundo!
Kwa wale ambao hatuja tambulishana basi tufanye hivyo
Kwa wale tunaokurupushana/tuliowezakukurupushana, I miss You!
Nimekuwa msomaji na mfuatiliaji wa Mada nyingi humu ndani. Hatimaye na me nimekuwa mwanafamilia sasa.
Merry Christmas and happy new yea kwa member wote!
Much lov kwenu!
Sent from my iPhone...
Jina langu ni John. Nafurahi kujiunga na JF family au jumuiya ya JamiiForums. Nilizaliwa Dar miaka ya 80's. Primary nilisoma Kilimanjaro na Tanga. Secondary nilisoma shule ilioko mkoa wa Arusha...
Jaman Mimi ni mgeni [emoji54][emoji54]
Nawasalimu tuu mkoa poa humu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujitambulisha kama mgeni lakini mm si mgeni hapa account ndio ngeni ila mm nafuatilia jf kitambo sasa niko na miaka 11 umri wa mtu huo now nimeamu kufungua account ili nami niweze...
Nipo na furaha sana kukutana na jamii mpya ya JF hakika Mimi nimefurahi sana hii jamii na nilikuja Kwa shindano la stories of change
Lakini JF imenivitia sana