act

The USA PATRIOT Act (commonly known as the Patriot Act) was an Act of the United States Congress, signed into law by President George W. Bush.
USA PATRIOT is a backronym for Uniting and Strengthening America by Providing Appropriate Tools Required to Intercept and Obstruct Terrorism.The Patriot Act was enacted following the September 11 attacks with the stated goal of dramatically tightening U.S. national security, particularly as it related to foreign terrorism. In general, the act included three main provisions:

expanded abilities of law enforcement to surveil, including by tapping domestic and international phones;
eased interagency communication to allow federal agencies to more effectively use all available resources in counterterrorism efforts; and
increased penalties for terrorism crimes and an expanded list of activities which would qualify someone to be charged with terrorism.

View More On Wikipedia.org
  1. SoC03 Tambua fursa ya biashara kutoka kwenye soko la hisa na Faida ya kubadilisha Sheria ya Foreign Exchange Act ya 1992

    Hisa ni sehemu ya umiliki katika kampuni. Kwa kumiliki hisa, mtu anakuwa mwekezaji katika kampuni na anapata haki za kifedha na kisera katika kampuni hiyo. Kuwekeza katika soko la hisa kunatoa fursa kwa Watanzania kuwa sehemu ya umiliki wa makampuni na kupata faida kutokana na mafanikio yao...
  2. M

    Malisa GJ huna uhalali wa kumlalamikia Nape kuku-block. Wewe ni kinara wa kupiga block

    Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi sifurahishwi kabisa na mambo ya watu kupigana block mitandaoni kwasababu ni mwanzo wa chuki na upotevu...
  3. BETAwards2023: Burna Boy ashinda tuzo ya Best International Act ya BET, Busta Rhymes apewa ya LifeTime Achievement

    Nyota huyo kutoka Nigeria ameibuka mshindi na kuwabwaga mastaa wengine ambao Aya Nakamura, Ayra Starr, Central Cee, Ella Mai, K.O, L7nnon, Stormzy, Tiakola na DJ Uncle Waffles. Beyonce ameshinda 'Viewers Choice', Drake na 21 Savage (Kundi Bora), Future na Tems (Wimbo Bora wa Ushirikiano)...
  4. ✅When a Lady Loves U, She Act Like A Lovely Sister. She Want The Best 4 U, She is Not Desperate for Your Money, Many Times She is Even Afraid 2 Bill U

    Ni kastori ya kabinti kamooja..... Leo nimeamini..,. Ni ngumu saana kwa baadhi ya mabinti kuonesha hisia zao wazi kwa mwanaume wa Ndoto zake.... Nilikutana na huyu binti humu humu Jf.... Tulijuana kidogo...kuna bidhaa alikuwa anauza (men's clothes)... Mawasiliano yakatoka DM....to physical...
  5. ACT Wazalendo wakosoa Machinga kuondolewa mjini

    CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema hakikubaliani na uamuzi wa kuwaondoa wafanyabiashara wadogo (machinga) katikati ya mji badala yake serikali inatakiwa kutenga maeneo ambayo yana watu wengi kwa ajili ya kundi hilo kufanya biashara. Katika mkutano uliofanyika jijini Mwanza jana, Kiongozi wa chama...
  6. ACT Wazalendo walia na umasikini mikoa inayoongoza kwa kilimo

    CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kitaendelea kushawishi sera mbadala za kuondoa watu kwenye umasikini ikiwemo ya Hifadhi ya Jamii kwa wote itakayohakikisha kunakuwa na Bima ya Afya kwa wote. Chama hicho kimesema haikubaliki kuwa asilimia 61 ya watu masikini nchini Tanzania wapo mikoa ya...
  7. Geita: CHADEMA yapata pigo, mmoja wa Makada na Makamanda wakuu ahamia ACT Wazalendo

    Katibu wa Baraza la Wazee CHADEMA Mkoa wa Geita, Ndugu Dominic Masusu amejiunga na ACT-Wazalendo. Masusu amepokewa leo Juni 4, 2023 na KC Zitto Kabwe katika mkutano wa hadhara uliofanyika Geita Mjini. Sasa ACT kimbilio la wote.
  8. Ni wakati wa CHADEMA na ACT kuungana kupambana na mkoloni

    Habari ya wakati huu ndugu zangu, karibuni tena kwenye mawazo ya kibeberu na Beberu J Katika mizahania ya siasa Tz kuna vyama viwili vya upinzani ambavyo navyo unaweza sema vinapigania kuwa chama kikuu cha upinzani, CHADEMA ya bwana Mbowe na ACT wazalendo ya kwake Zitto, mifarakano ya hawa...
  9. M

    Zitto Kabwe: Mikutano ya Act wazalendo sio kama ya Chadema na vyama vingine. Sisi tunaeleza kero na namna ya kutatua.

  10. B

    ACT Wazalendo wasusiwa uwanja

    Kama hii ni saa 10 jioni yaweza kuwa ni muda muafaka wa kujitathmini: Kufikiria kuunganisha nguvu hata kupitia ma coalition linaweza kuwa jambo lenye tija zaidi. Tuyaweke maslahi ya taifa mbele. Kipaumbele sasa ni katiba mpya. Umoja ni nguvu!
  11. ACT yamteua Othman kuongoza timu mageuzi ya Kisiasa Zanzibar

    Masoud Othman Masoud ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo upande wa Zanzibar anatarajiwa kuongoza timu ya ACT katika majadiliano ya kukamilisha mageuzi ya kisheria ili kuimarisha haki, umoja na mshikamano. Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT, Salim Bimani...
  12. Kwa mahudhurio hafifu Mkutano wa CHADEMA Kigoma, ni dhahiri ACT-Wazalendo wameifuta CHADEMA-Kigoma

    CHADEMA wamezindua operesheni yao Kigoma, na katika malengo ya operesheni, mojawapo ni Katiba, lakini inaonekana wameingia katika Kambi ya ACT Wazalendo iliyo chini ya Zitto Kabwe-Mkoa wa Kigoma. Watu walikuwa wachache sana japo makumi ya mamilioni yametumika kuandaa mkutano huo. Wana Kigoma...
  13. Kiongozi wa ACT badala ya kukikuza chama anapamba na wapinzani

    Brother akajua mkutano utakuwa Jumamosi si ndiyo akanunua Mechi yote uwanja mzima akalipia KiingilioBrother akajua mkutano Jumatatu si ndiyo akarudisha pesa ya Chopper yote na fidia Juu watugomee kufanya kazi. Sasa Mbowe kachukua Chopper kutoka UfaransaNasikia BOTHER KAZIMIA
  14. Bundi limetua act wagombea uraisi watatu wamefariki kulikoni

    Act ni chama kipya hapa nchini kilianzishwa baada fujo kule chadema mwaka 2013(kama nimekosea mwaka) wakati zitto akitaka kugombea uenyekiti mbowe akamfukuza ndo ACT ikazaliwa Zitto binafsi niliwahi fanya nae mazungumzo ya simu sehemu moja nilipoona ana chuki za wazi kwa magu...pia...
  15. Tanzania’s Media Services Act: A Manifestation of the Man With the Hammer Syndrome?

    Social control is how societies regulate and maintain social order, enforce norms and values, and promote conformity to group expectations. It involves using various techniques and strategies to influence the behaviour of individuals and groups within a society to conform to the standards and...
  16. Data Protection Act comes into effect

    THE Personal Data Protection Act in Tanzania that was passed by the Parliament in November 2022 has come into effect from May 1st this year, the government has said. The Minister for Information, Communication and Information Technology, Nape Nnauye said in the public information that was...
  17. ACT Wazalendo’s statement on the situation in Sudan

    ACT WAZALENDO’S STATEMENT ON THE SITUATION IN SUDAN. ACT Wazalendo follows with great concern the on-going armed conflict in Sudan between Sudan Armed Force (SAF) and Paramilitary Rapid Support Force (RSF) from 15 th April 2023 and according to reports so far, the conflict has caused death of...
  18. K

    Ushauri kwenu ACT Wazalendo, msifanye makosa yaliyofanywa na CHADEMA ya kuratibu maandamano na migomo. Jikiteni kwenye mikakati na mipango

    Ushauri huu ni mahususi kwa ajili ya ACT Wazalendo na vyama vingine vyenye muelekeo kama huu wa kuratibu maandamano na 'attention seeking' na nimetumia neno 'attention seeking' kwa sababu za ushiriki wao wa siasa za matukio ,kunapokuwa na tukio Chama kinaibuka na baadae kinapotea. Kwa mazingira...
  19. D

    Dar: Maandamano ya ACT Wazalendo kuelekea Ikulu kushinikiza waliotajwa wizi kwenye ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua

    Maandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani. Maandamano yanaongozwa na viongozi waandamizi wa chama hicho Cha upinzani na yataishia lango Kuu la Ikulu ya Magogoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…