Habari zenu wana jf...leo nmependa kuja kitofauti kidogo, katika harakati za msoto hapa na pale nmeona wengi tunapitia changamoto nyingi mno lakini ukweli ni kwamba msaada wako ni WEWE MWENYEWE.
Katika safari ya maisha, tunakutana na changamoto za kila aina. Zipo nyakati tunazungukwa na giza...