ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Mwenye taarifa yoyote ya ajali ya gari maeneo ya Iringa, awasilishe

    Wakuu poleni na majukumu, Kuna ajali ya gari ndogo nasikia imetokea maeneo ya Iringa, mwenye taarifa kamili atujuze. Dah, nimepata taarifa juu juu, Kuna ndugu yangu amesafiri, simpati kwenye simu
  2. Mamlaka ziweke matuta barabarani Tegeta Kibaoni, kuna matukio mengi ya ajali kutokana na mwendokasi wa magari

    Barabara ya Tegeta Kibaoni mpaka Mbezi kupitia Madale Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kutokea mtukio ya ajali, kuna baadhi ya watu wamepoteza maisha kutokana na ajali hizo. Tatizo zaidi lipo hasa kipande cha kuanzia Wazo Kontena hadi Flamingo, magari yanakimbia kwa kasi sana, tunaomba...
  3. Mkurugenzi amsimamisha kazi Mwalimu aliyewatuma wanafunzi kupakia kuni zake wakapata ajali

    Mkurugenzi amsimamisha kazi Mwalimu aliyewatuma wanafunzi kupakia kuni zake wakapata ajali ya gari Njombe Mwalimu Furaha Msule anayefundisha shule ya Sekondari Kidegembye iliyopo Lupembe halmashauri ya wilaya ya Njombe amesimamishwa kazi kwa kosa la kuwachukua wanafunzi na kuwapeleka kupakia...
  4. Kwanini ajali nyingi hutokea usiku?

    Wanajamvi salaam. Kwa utafiti wangu usio rasmi kwenye vyanzo mbali mbali vya habari ikiwemo JamiiForums, nimebaini kwamba ajali nyingi hasa zile mbaya hutokea mida ya usiku. Barabara maarufu kwa ajali kama maeneo ya Mikese imekua ikishuhudia ajali mbaya zinavypelekea vifo vya watu wengi na...
  5. R

    Dar: Basi la shule la St. Florence Academy (hiace) lapata ajali maeneo ya Interchick Mbezi Beach

    Ajali hii imetokea asubuhi hii, basi hilo likionekana kutumbukia kwenye mtaro likiwa na wanafunzi kama 10 hivi. Kwa kuwaangilia watoto hawaonekani kuwa wameumia sana, zaidi ya michubuko na hofu kwa kilichotokea. Basi jingine kubwa la shue hiyolilipita eneo hilo na kuwachukua watoto hao...
  6. L

    Beki wa Simba SC, Che Malone apata ajali ya gari Mikocheni karibu na Feza School

    Nimepata taarifa beki wetu kisiki kapata ajali maeneo ya Mikocheni, alipokwenda kumpokea ndugu yake usiku wa kuamkia leo, Septemba 24 ambaye amekuja kumtembelea. Sikusudii kuleta taharuki isipokuwa nimewasikia watu wakisema katika daladala, pole ukuta wa Yericko kama ni kweli. UPDATE Taarifa...
  7. Dkt. Maguha: Takwimu zinaonesha Saratani ya Mlango wa Kizazi inasumbua Wanawake wengi ikifuatiwa na Saratani ya Matiti

    Katika kuhakikisha elimu inawafikia watu wengi zaidi kuhusu Ugonjwa wa Saratani, Taasisi ya Ocean Road imeanza Kampeni ya kutembelea Hospitali za Rufaa za Mikoa ili kushirikiana na Wataalam mbalimbali. Dkt. Maguha Stephano ambaye ni Meneja wa Huduma za Kinga anazungumzia kuhusu huduma hiyo...
  8. Gari lililobeba Mashabiki wa Namungo lapata ajali na kusababisha vifo vya wanne

    Kuna taarifa za kusikitisha za vifo vya mashabiki wa Namungo wakielekea Dar kwenye match ya Yanga vs Namungo Leo ambapo gari lao lilipata ajali njiani Leo mabingwa yanga watakutana na namungo saa Moja usiku USSR
  9. Madereva wa Mighty Logistic wanaobeba makaa ya mawe watakwisha kwa uzembe

    Kona ya kwa Mwanaharusi huyu ni watatu kalala hapo kwa kipindi cha miezi mitatu
  10. W

    Je, unaikumbuka ajali ya basi la UDA Oysterbay/Masaki?

    Wakati niko nasoma pale Nusery school hapo pale pembeni ya Oysterbay Primary school , tulipata taarifa kwamba kuna basi la kati ya UDA au Kamata limepata ajali meneo ya Kilima Masaki na kwamba kuna wanafunzi wame laliwa na bus na kuwaua. Habari hiyo ilinitisha mpaka leo nakumbuka ile...
  11. Ajali za Barabarani ziliua wastani Mtu mmoja kila baada ya saa 5 mwaka 2022

    Mtu mmoja alifariki dunia kila baada ya saa tano na dakika 40 mwaka 2022 kutokana na ajali za barabarani, ikilinganishwa na kifo kimoja kila baada ya saa 6 na dakika 24 mwaka mmoja kabla. Takwimu za Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani zilizochapishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu...
  12. Morogoro | Ajali ya basi la Abood yawaua wawili , Wengine wajeruhiwa

    WATU wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Abood na Noah zilizogongana uso kwa uso asubuhi ya leo Septemba 11, 2023 eneo la Kitungu Manispaa ya Morogoro. Ajali hiyo imehusisha basi lenye namba za usajili T904 DKY mali ya Kampuni ya...
  13. Serikali yatumia Sh27.83 bilioni kulipa fidia ajali, magonjwa kazini

    Katibu Mkuu,Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu,Mhandisi Cyprian Luhemeja,amesema gharama za fidia zimeongezeka kutoka Sh13.19 bilioni kwa kipindi kilichoishia Juni 2021 hadi kufikia Sh27.93 bilioni kwa kipindi kilichoishia Juni 2023 huku taarifa ya baadhi ya mifuko ya...
  14. Watanzania 5 waripotiwa kufariki kwenye ajali ya Moto Afrika Kusini

    Watu wasiopungua 70 wamepoteza maisha na wengine 52 wamejeruhiwa kufuatia moto uliozuka katika jengo la ghorofa tano katikati ya mji wa Johannesberg nchini Afrika Kusini. Moto huo umetokea katika jengo lililopo katika eneo lenye shughuli nyingi za kibiashara la jiji hilo kubwa la Johannesburg...
  15. Historia inaonyesha Prigozhin hii ni mara ya pili kufa kwa ajali ya ndege

    Bado dunia iko kwenye kizungmkuti cha kinachoitwa kifo cha Boss wa Wagner PMC Prigozhin na wenzake katika ajali ya ndege. Huyu mwamba aliwahi kufeki kifo chake hivihivi kwa jina lake kuonekana lilikuwemo kwenye list ya watu waliosafiri. Hii ilikuwa ni ajali ya ndege iliyotokea Congo mwaka...
  16. Rais Putin atuma salamu za Rambirambi kwa Familia za Waliouawa kwenye ajali ya Ndege akiwemo Prigozhin

    Akizungumza katika Televisheni ya Taifa, Rais Vladimir Putin ameitaja ajali ya Ndege hiyo kuwa mbaya na imeua Watu 10 ambao ni Wafanyakazi wa Jeshi Binafsi la Wagner akiwemo Kiongozi wake, Yevgeny Prigozhin ambaye ametoa mchango mkubwa kwa Taifa hilo. Pia, amesema Kamati ya Uchunguzi imeanza...
  17. J

    Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

    Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege Watanzania tumuombee apumzike kwa amani! Source: Al jazeera ==== Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika...
  18. TANZIA Padre wa Jimbo la Bukoba Afariki kwa Ajali ya Pikipiki

    TANZIA -JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA Askofu Method Kilaini, anawatangazia kifo cha padre Asterius Mutegeki, kilichotokea tarehe 18 Agosti 2023 kwa jali ya pikipiki. Padre Asterius ni kijana aliyepadrishwa mwaka jana Julai 2022. Ni mzaliwa wa visiwa vya Bumbile na Padre wa kwanza kutoka visiwa...
  19. TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

    #BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
  20. Camera za Usalama kufungwa Mlima Kitonga ili kudhibiti ajali

    Jeshi la Polisi Mkoani Iringa kwa kushirikiana na Kamati ya Usalama Barabarani ya Mkoa huo, wapo mbioni kuanza utekelezaji wa mpango kabambe wa kuweka camera za kisasa kwenye maeneo korofi kwenye barabara kuu inayounganisha Mkoa huo na Mikoa mingine na kwa kuanzia camera hizo zitafungwa eneo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…