amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. MAJIBU UCHUNGUZI: Kukamatwa kwa Tumokinoi Mollel Samaito (Adv.Francis Samaito) na kuwekwa mahabusu kwa kosa la uvunjifu wa amani Longido. Akaangwa

    TUMOKINOI MOLLEL SAMAITO (Francis Samaiko - PICHANI) aliwekwa mahabusu kwa kosa la uvunjifu wa amani kwa mujibu wa sheria mnamo tarehe 30/11/2023. madini ya rubi Hakuna mgogoro wowote kati ya mmiliki wa leseni (kijiji cha les mundarara) na mwekezaji huyo (northern crystal ruby limited)...
  2. F

    CCM imuadhibu Ole Sendeka kwa kuvamia mashamba na kuharibu amani

    Katika hali ya kuishiwa na akili za uongozi, Ole Sendeka ameendelea kusababisha vurugu na kushawishi wananchi kuvamia mashamba ya wawekezaji halali. Baada ya vikao anavyodai vya siri na baadhi ya wanachi ,Jana tarehe 11/12/2023 na leo 12/12/2023 wananchi wa Naberera walienda kuvamia shamba la...
  3. Chongolo uwe na amani, uchunguzi utafanyika na utatendewa haki. Chama kitaonesha ukubwa wake

    Kwanza, tunamshukuru Mungu kwa kuzuia hujuma zisizo na huruma kwa CCM yetu baada ya kuepusha kupokwa kwa nafasi ya Katibu Mkuu jana. Shukrani zetu, kama makada waandamizi na wazee wa chama, ni kwa Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mama Samia S. Hassan kwa kutusikiliza tulipomshauri cha kufanya...
  4. Burundi waanzisha Mwenge wao, Waomba mafuta ya Mwenge wa Tanzania. Je, Watapata amani?

    Burundi waanzisha Mwenge wao, Waomba mafuta ya Mwenge wa Tanzania. Je, Watapata amani? Nimeshuhudia Mwenge wa Burundi ukikagua shule ya Buraza Gitega ilojengwa 1974 hadi leo bati hazijabadilishwa. Mwenge wa Burundi 🇧🇮 unamulika wazembe, wala rushwa na wanaotaka kupindua nchi🤣 Je, Tanzania...
  5. Je, tunaweza kuishi kwa amani tukifatisha vitabu vyetu vya dini?

    According to the Koran; Koran 2;191 "Slay the unbelievers wherever you find them." Koran 3;28 "Muslims must not take the infidels as friends." Koran 3;85 "Any religion other than Islam is not acceptable." Koran 5;33 "Maim and crucify the infidels if they criticize Islam." Koran 8;12...
  6. W

    Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

    Umuofia kwenu!! Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake; 1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na...
  7. Waziri Tabia Mwita: Ukarabati Uwanja wa Amani Una Lengo la Kuufanya Ukidhi Viwango vya Kimataifa

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (SMZ) Mhe. Tabia Maulid Mwita amesema ukarabati unaoendelea kufanyika katika uwanja wa amani una lengo la kuimarisha na kuufanya kuwa wa kisasa na wenye kukidhi viwango vya kimataifa. Ameyasema hayo alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa...
  8. Mnaosema "kuwa na amani" mnamaanisha nini?

    Inaweza kutokea mtu fulani akakukwaza kwelikweli au kukuweka katika mazingira usijuwe hatima yako itakuwaje. Hapo sasa unakuta anatokea mtu mmoja anakunasihi kwa maneno haya "kaka/dada uwe na amani" Sasa haya maneno uwa yana maana gani maana sometimes unakuta uyo anayekwambia hana hata abc...
  9. Sadc mguu sawa kupeleka misheni ya ulinzi wa amani nchini DRC

    Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameazimia kupeleka Misheni ya Ulinzi wa Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (SAMIDRC) kushughulikia masuala muhimu yanayoathiri utulivu na amani nchini humo kufuatia mapigano ya muda mrefu baina ya...
  10. B

    Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

    Huu ni mrejesho wa yenye kujiri: (a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya: 1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa: "Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama" 2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu. 3. Wajumbe...
  11. R

    CCM imewahi kuwa chama Cha upinzani katika majiji na Halmashauri kadhaa, na bado amani ilitamalaki

    Salaam, Shalom!! Ile Sumu iliyokuwa ikienezwa na viongozi waliotangulia kuwa kuchagua upinzani ni kuchagua vita na kukosekana Amani, kurudisha nyuma maendeleo ,umebainika kuwa ni uongo wa kuaminika tena wa kiwango Cha juu. Baba wa Taifa, Mwl Nyerere aliwahi kukataa dhana hiyo pale aliposema...
  12. Ndoa na Familia yenye furaha na amani ina Mungu. Yenye mafarakano huzuni na chuki ina shetani

    NDOA NA FAMILIA YENYE FURAHA NA AMANI INA MUNGU. YENYE MAFARAKANO, HUZUNI NA CHUKI INASHETANI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Ukiona Mkeo/mumeo mnapendana, mnafuraha na amani. Mnataniana. Ni marafiki. Mnashrikiana kwa karibu kila kitu. Mnakula pamoja. Yaani ninyi maisha yenu kwa asilimia 80%...
  13. Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

    Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
  14. R

    Viongozi wakuu wa CHADEMA siyo maskini wala matajiri; wana amani na fikra huru. Kuna la kujifunza kwao

    CHADEMA ina viongozi ambao siyo matajiri sana na siyo maskini sana. Siyo mafisadi wala hawana nafasi yakupata kipato kisicho halali. Wanafamilia sawa na viongozi wa CCM na wanavaa na kula kama wenzao wa chama tawala. Pamoja na kuwa na kipato cha haki ila wako huru kueleza hisia zao kisiasa...
  15. Kuna kubwa la kujifunza hapa. Pumzika kwa Amani Aziza (Janet) Frisby

    Ndugu zangu tuchukue tahadhari popote pale tulipo duniani. Usimuamini mtu tena, bin-Adam tumekuwa wanyama! Chuki iliyopitiliza mwisho wake ni unyama wa kiwango cha hali ya juu. Binti mdogo, mrembo na msomi aliyekuwa akipambania anachokipenda zaidi na kuzitimiza na kuzifikia ndoto zake aliyekuwa...
  16. Mtangazaji Amani Mbilo wa Radio One kuwa makini usikuambukizwe tabia ya kuchukia wanaume ukakosa mume

    GENTAMYCINE nikiwa kama Balozi wa Kujiteua Mwenyewe Kilazima wa Kipindi nikipendacho cha Mazungumzo ya Familia kinachorushwa na Super Brand Radio One kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili Asubuhi kila Siku za Jumapili nimeanza kuvutiwa na Mtangazaji wa Kiume Haji Kibwana kwa jinsi...
  17. Taleban yazitaka Palestina na Israel kutafuta amani kwa njia ya mazungumzo. Yatamka kuwa haiungi mkono ugaidi

    Baada ya siku za hivi karibuni kuhusishwa na mpango wa kutuma wanajeshi kwenda kujiunga na Hezbollah kuipiga Israel, uongozi wa Taleban umejitokeza na kukanusha tuhuma hizo. Taleban imetamka wazi kuwa haiungi mkono vitendo vya kigaidi na kuzitaka pande zote kuketi chini na kutafuta amani kwa...
  18. Wakristo wanatakiwa kuombea amani Mashariki ya Kati

    NAFASI YA MKRISTO KATIKA VITA YA ISRAELI NA PALESTINA. Shalom. Juzi Palestina kupitia wanamgambo wa Hamas wameanzisha mashambulizi juu ya Israel, na inasemekana ni mashambulizi makubwa kuwahi kushambulia na kufanikiwa kuwaua Waisraeli zaidi ya 300 na wengine zaidi 100 kujeruhiwa, idadi hiyo...
  19. Tazama Tanzania amani tulio nayo

    Kweli... Mungu hatupi vyote sisi watanzania. Leo yametokea Mashambulizi ya Kivita huko Israel kutoka kwa Palestina. Huku kuna Ukrain dhidi ya Mrashia. Pale kuna Mapinduzi ya Serikali sehemu mbali mbali hapa Afrika Kule Marekani watu wanamiliki silaha nje nje kama simu za Iphone. Lakini...
  20. Haya semeni haraka nije na Info ya huko Mwanza sasa au Niichunie tu ili Amani itawale na Wasivurugane?

    Haya Wazee wa Kukopi Taarifa zangu GENTAMYCINE hapa Jamvini JamiiForums akina Ricardo Momo na Edo Kumwembe bila kuusahau Mtandao wa WhatsApp wa hiyo Timu na Wengineo si huwa mnajifanya mna Taarifa? Sasa mbona hii Mbichi kabisa ambayo GENTAMYCINE The King ninayo peke yangu nyie hamna na bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…