Wakuu habari,
Week iliyopita bwana nikiwa kwenye misafara yangu kule maeneo ya kunduchi ununio,
Sasa nikakuta vurugu pale kunduchi mtongani,
Polisi purukushani na Raia,
Sasa hiko ivi: KUNA jamaa pale mtongani ana nyumba mbele Ina mafremu ya biashara Kama matatu hivi, Kuna fremu moja...