app

A mobile application, also referred to as a mobile app or simply an app, is a computer program or software application designed to run on a mobile device such as a phone, tablet, or watch. Apps were originally intended for productivity assistance such as email, calendar, and contact databases, but the public demand for apps caused rapid expansion into other areas such as mobile games, factory automation, GPS and location-based services, order-tracking, and ticket purchases, so that there are now millions of apps available. Apps are generally downloaded from application distribution platforms which are operated by the owner of the mobile operating system, such as the App Store (iOS) or Google Play Store. Some apps are free, and others have a price, with the profit being split between the application's creator and the distribution platform. Mobile applications often stand in contrast to desktop applications which are designed to run on desktop computers, and web applications which run in mobile web browsers rather than directly on the mobile device.
In 2009, technology columnist David Pogue stated that smartphones could be nicknamed "app phones" to distinguish them from earlier less-sophisticated smartphones. The term "app", short for "software application", has since become very popular; in 2010, it was listed as "Word of the Year" by the American Dialect Society.

View More On Wikipedia.org
  1. App za Mange Kimambi na Yerricko Nyerere zinawezaje kuvuka vikwazo vya google?

    Google wanataka kama una app inayofanya in app purchases, kama kulipia subscription au digital goods zingine basi ni lazima kulipa kulipia kwa google play billing system. Walitoa deadline mwezi wa 9 2021. Hawaruhusu malipo kufanyika nje ya app. Kwenye huu mfumo wao wanakata 30% Huu mfumo siyo...
  2. Nataka kuanzisha website au App ya Elimu, iguse wanafunzi shule ya msingi mpaka university

    Wakuu naangaika kupata idea ya kuanzisha digital platform ambayo itakuwa msaada kwa wanafunzi wa ngazi zote kuanzia primary mpaka university. Nataka iwe ya tofauti kidogo isifanane na shule direct, mtabe wala smartclass. Nilikuwa nawaza kuwa na app ya kuuza vitabu ila nikaona bado utamaduni...
  3. K

    Azam TV Max app na matatizo ya channeli ya UTV siku za mechi za simba CAF

    Wakuu mimi ni mtumiaji mzuri wa azam tv max app kwenye simu yangu, kuna hii ya UTV chaneli kila ukifika muda wa mechi za simba unakuta imeondolewa HAIPO KABISA au ukiikuta na ukaifungua kwa ajili ya kungalia zako mpira unaambiwa CHANNEL IS NOT AVAILABLE IN YOUR AREA. Ajabu ni kwamba baada ya...
  4. Njia rahisi kupata msaada kupitia app ya carlcare kiganjani mwako

    Je, unafahamu kuwa kupitia simu yako unaweza kupata msaada wa kufahamu ghalama mbalimbali za malekebisho ya simu bila hata kufika katika kituo chetu cha matengenezo CARLCARE SERVICE CENTER. Unachotakiwa ni kudownload APP ya Carlcare then katika menu ya APP pale utaona vitu mbalimbali kama...
  5. Je, kuna Android App ya kuweza kuboost calling voice?

    wadau kwa yeyote ansyeifahamu Android app ya kuboost caller voice maana saut ya sim yangu infinix ninapoongea na sim napata tabu very low voice, nimejaribu baadhi ya App toka play store hakuna utofaut before na afta installing,,
  6. R

    Msaada VoIP app inayofanya kazi hapa Tanzania

    Habari Wakuu Natafuta app ya android ninayoweza kutumia kupiga Simu kwenda nje ya Tanzania kwa kutumia VoIP (voice over internet protocol). Nimejaribu VoipStudio haifanyi kazi. Ningependa kupata ambayo ina free trial ili nijaribu kabla ya kulipia. Nitashukuru kwa muongozo.
  7. Msaada App ya Ku stream live football games kwenye simu

    Habari wakuu! Tafadhali naomba Msaada kutoka Kwa yeyote ili nipate application yoyote ambayo nita install kwenye simu ili niweze kuwa Na stream live games za soccer nikiwa mbali Na tv. Hii ni nje ya Azam max, hiyo ninayo tayari. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  8. SOFTWARE School Management system with android App and Biometric time attendance for Teachers

    Click Up company limited tumeleta mfumo maalaumu kwa ajili ya kumanage na kutunza kumbukumbu za shule yako. mfumo huu unakuja na biometric device maalumu kwaajili ya kufuatilia attendance ya walimu shuleni. Gharama ya mfumo pamoja na biometric device kwaajili ya attendance ni 700,000 TZS...
  9. India yapiga marufuku Apps 54 za Kichina kwa sababu za usalama

    Kutokana na hofu ya Usalama, India imezuia upatikanaji wa 'App' 54 kutokea China. Tangu mvutano wa kisiasa kuibuka kwa mara ya kwanza na China Mwaka 2020, India imepiga marufuku jumla ya 'App' 321 India inaamini Taaarifa za Watumiaji zilikuwa zikitumwa China kupitia Apps, kisha kutumika kwa...
  10. Naomba mnijuze App nzuri ya kutenganisha wimbo na melod

    Je, application ipi ni nzuri kutenganisha kati ya wimbo na melod?
  11. Naomba mnijuze app nzuri ya kutenganisha wimbo na melod

    Wananzengo kama kichwa hapo kinavyoeleza, naomba mnisaidie! App ya kutenganisha intrumental na wimbo!
  12. Kurestore old what's app messages

    Wadau wa Tech kwemaa!! Nauliza je kuna technique ya kurejesha messages za mtandao wa kijamii wa what's app tofauti na ule tuliozoea unapo install what's app ipya ktk simu yako. Anaye fahamu hizo tech pls share, simu yangu imeshindwa ku restore baadhi ya contacts ambazo siku save ila mamba...
  13. Nahitaji mtu wa kunitengenezea App ya android kwaajili ya blog yangu

    kama nilivyozungumza hapo katika kichwa cha chapisho mimi ni mmiliki wa blog ya michezo, nahitaji mtu atakae weza kunitengenezea app ya android ambayo itakuwa ina sehemu ya live score pamoja na sehemu ya kusikilizia radio, blog yangu ni hii www.binruwehy.blogspot.com ipo katika platform ya blogger
  14. Android App API

    Habari wadau, Mwishoni mwa 2021, November to December nilitengeneza algorithm ya kubashiri mpira wa miguu. Nilitengeneza console application kwa majaribio, kwa kipindi cha December yote timu nilizo analyse hakuna iliyoenda nje na prediction result, Nimeamua nitengeneze application kabisa lakini...
  15. Msaada:ni app gani inatumikaga kudukua website

    Jamani kama kichwa cha habari kivyo jieleza
  16. Msaada wa kuipata hii app

    Wasalaam, Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kutumia Nokia Fulani hv siikumbuki ni model gani lakini ilikuwa ni ya button. Simu ile ilikuwa na uwezo katika upande wa sms, wa kutuma 'flash message' ambayo moja ya sifa yake ni pamoja na kupotea ukishamaliza...
  17. Naomba kuuliza hivi kuna Internet Download Manager App Kwa ajili ya MAC Computers

    Wakuu naomba kuuliza kama kuna Internet Download Manager App Kwaajili ya MAC Computers. Kama ipo naomba link
  18. WhatsApp imetoa App mpya kwa watumiaji wote wa Windows

    WhatsApp imetoa app mpya kwa watumiaji wote wa Windows. App mpya ya WhatsApp imebadilishwa UWP (Universal Windows App) yote ili kuendana na Windows 11 na Acrylic graphics Effects mpya za Windows. Kwa sababu inatumia mfumo mpya, Inafunguka faster sana (chini ya sekunde 2); ina maboresho ya...
  19. Instagram itafuta app ya “Threads for Instagram”

    December mwaka huu, Instagram itafuta app ya “Threads for Instagram” ambayo ilianzishwa tangu Mwaka 2019 ili kushindana na Snapchat. Instagram imesema mwisho wa mwaka huu itafuta app ya Threads katika App Store na Google Play Store; na itakuwa haipatikani kwa watumiaji wote ambao bado...
  20. R

    Nawezaje kudesign window form App ambayo itaweza kufill data katika form tofauti tofauti

    Habari wadau nadhani bado wengi hamjanielewa apo naomba nielezee kwa utulivu ili nipate msaada maana nimegoogle nimeshindwa. Ipo hivi imagine kuna watu wengi wanafanya application sehemu kwa mfano humo kuna Wenye wazazi YATIMA WALIOOA AU WALIOOLEWA NK Sasa nataka nidesign WINDOW...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…