Katika kuzurula mitandaoni nimegundua kuna taarifa toka nipashe ikisema serikali yaruhusu kilimo cha ndumu! Je, ni kweli kuwa hilo limeazimiwa rasmi?
======
Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Christina Rwehabuza, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mafunzo ya mpango...