Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, amesema Zanzibar haitofikia maendeleo ya kweli pasi na kuwepo Baraza makini la Wawakilishi, linalosimamia maslahi ya Umma na matakwa ya Wananchi.
Amesema Zanzibar katu haitonyooka hadi kuwepo na Baraza madhubuti la Wawakilishi...